Hakuna shida. Watamzania walio wengi wamepata mabadiliko chanya
minyoo matajiri na wafanyabiashara wengi wakubwa na hata makampuni walizoea kutumia nguvu ya pesa kukiuka taratibu.
Ukikaa na wanaodai kubambikiwa kodi watakuambia walivyokua wanakwepa kodi hapo awali kwa kutumia watendaji wasiokua waadilifu kwenye vyombo vya serikali. Wengi wao sasa wanafanya malipizi ya walichokwepa kulipa hadi 5,6,7,8 years ago.
Regulators nao walikua hawana meno, sasa wanawajibishwa na kuwajibika ipasavyo na sio kwamba wanatuonea
Follow the rules my friend is the only way utakuwa safe...