Mwizi ni mwizi tu.Kama mgombea ubunge Temeke yenye amejipigia kura na famili yake lakini wamepata sifuri si miujiza hiyoMshangao ni kupungua kwa wabunge wa upinzani kwa kiasi kikubwa badala ya kuongezeka.Lakini hii siri ya ushindi wa ajabu ipo siku itavuja. Yaana wamefanya kosa kubwa sana la kiufundi kujipatia ushindi mnono,wangejipa ushindi mwembamba wasingeshitukiwa. Mikakati mingine huwa ya hovyo sana,ilipangwa bila kuangalia effect yake itakuaje. Yaani hapakuwa na fundi,ukila na asiyeona usimshike mkono atajua unamkombea chakula.Haya sasa wanaoitwa mabeberu wamepata hoja ya kusema.