OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Ni ajabu la nane la dunia!Uchaguzi wa Tanzania umekua kituko duniani.
Uchaguzi huu umetia nchi aibu kubwa sana!
Mtakosa kodi ya kumalizia stiglaz JoJi.Oya rudini kufaanya kazi tujenge nchi..Ela rahisi rahisi hamna siku hizi uchaguzi ushaishaa
Kubwa lijalo hata badoOya rudini kufaanya kazi tujenge nchi..Ela rahisi rahisi hamna siku hizi uchaguzi ushaishaa
Shida zote hizo wanataka neno kishindo" ushindi wa kishindo"Huu ulafi wa kura dunia imeona...