Mwizi ni mwizi tu.Kama mgombea ubunge Temeke yenye amejipigia kura na famili yake lakini wamepata sifuri si miujiza hiyoMshangao ni kupungua kwa wabunge wa upinzani kwa kiasi kikubwa badala ya kuongezeka.Lakini hii siri ya ushindi wa ajabu ipo siku itavuja. Yaana wamefanya kosa kubwa sana la kiufundi kujipatia ushindi mnono,wangejipa ushindi mwembamba wasingeshitukiwa. Mikakati mingine huwa ya hovyo sana,ilipangwa bila kuangalia effect yake itakuaje. Yaani hapakuwa na fundi,ukila na asiyeona usimshike mkono atajua unamkombea chakula.Haya sasa wanaoitwa mabeberu wamepata hoja ya kusema.
Wewe umekuwa kama yule alikuwa mtangaza vifo vya corona TZ baada ya corona kuthibitiwa akaingia gizani. Na wewe sasa ni mleta matamko ya mabalozi baada ya kuapishwa Rais Magufuli tarehe 5 utaingia gizani kama yule mtangaza vifo fake vya corona TZ wakati ule.View attachment 1618192
Anaandika...
Troubled by events in #Tanzania. Serious allegations of irregularities and low number of observers undermine credibility of elections. Reported arrests of opposition leaders are concerning. Fundamental principles of democracy and the rule of law must be protected....
Uchaguzi huu umetia nchi aibu kubwa sana!
sawa mkuuMbuuzi wewe