Sikirimimimasikini, hivi unaona ninacho kiona mimi??Mkuu,kwa masikitiko makubwa naona kumbe Afrika bado saaana - ndio maana watu wa magharibi utuchukulia kwamba majority ya watu weusi tuko "WIRED weirdly by our MAKER" ndio maana wazungu wanakuwa na ujeuri/ubavu wa kuwaburuza puta baadhi ya Viongozi wa Africa kama gari bovu.
Mkuu jaribu kupitia tena majibu jibu ya kushangaza yanayo semwa na baadhi ya JF members - just imagine wana sababu gani za msingi kumjia juu waziri wa Afrika kusini, wanambatiza majina ya kila sampuri, kumbeza beza - kisa!! wanakasirika kutokana mama wa watu kumwambia ukweli waziri wa Merikani, ambay uchukuliwa na baadhi ya Wafrika kana kwamba ni Mungu wao mdogo wa Dunia ambaye hapashwi kujaribiwa hata siku moja, akisha sema kitu/toa amri Dunia nzima inapaswa kumsikiliza na kuufyata, hakuna kuhoji swali!!