Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini amwambia Antony Blinken kuwa Afrika haitaki kulazimishwa na Marekani kuzichukia Urusi na China

Uko sahihi, nimeshayaona hapo juu majibu ya baadhi ya waafrika walionyweshwa bendera za kutawaliwa kikoloni na kitumwa. Yaani mtu kwa kuwa babu zake na bibi zake walikuwa watumwa au walitawaliwa kikoloni, haamini kama yeye hivi sasa yupo huru!
 
South Africa yenyewe imeshajiweka upande wa BRICS kitambo sana wana urafiki tena zaidi ya urafiki na Russia na China
Well said, actually BRICS alliance ndilo litakuwa kaburi la western financial institutions specifically IMF, World Bank, Rothchild&Co, Chase Manhattan Bank (Rockerfeller family) jeuri zao za kipesa wanaitumia kunyonya third World Nations (Banana Republics) kwa kutumia mbinu za kuzikopesha fedha huku wakijua wazi kwamba mwisho wa siku wata slap mataifa hayo maskini with punitive interest ambazo wakopaji watashindwa kuzilipa, wanaishia kupewa mashariti ya kudhalilisha yenye lengo la kuwadidimiza kiuchumi ili waendelee kubaki omba omba ie yaishie kwenye kutembeza bakuri yakiomba misaada!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…