⚡️ Kan Hebrew Channel:Acha kujipa moyo, wazazi na watoto hawawezi gombana sbb ya magaidi ya Hamas, hilo sahau, kipigo kitakatifu kwa Hamas and Hezbollaah kipo pale pale..!!
Endelea kujifariji,Kichapo kwa mqgaidi pamoja na vikwazo viko palepaleWanakumbi.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken na Waziri wa Ulinzi Lloyd Austin waliifahamisha Israel kwamba ikiwa misaada ya kibinadamu haitaingia Gaza ndani ya siku 30, utawala wa Marekani utalazimika kuamsha "Mkataba wa Usalama wa Taifa" na kuzuia uhamisho wa silaha kwa Israeli chini ya sheria ya misaada.
=========================
U.S. Secretary of State Antony Blinken and Secretary of Defense Lloyd Austin informed Israel that if humanitarian aid does not enter Gaza within 30 days, the U.S. administration will be forced to activate the “National Security Memorandum” and prevent the transfer of weapons to Israel under the aid law.
Chanzo: Itamar Eichner - Yedioth Ahronoth
UP DATE.
=======================
View: https://x.com/suppressednws/status/1846247321782440304?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
We unajua nani kaanza kati ya waarabu na waisrael!?Waende zao! Magaidi yanapowaua Israel mbona hawasemi?
Endelea kujifariji,Kichapo kwa mqgaidi pamoja na vikwazo viko palepale
Israel is fighting in five fronts at the same time including Gaza, West Bank, Southern Lebanon, Yemen and Iran. That's the nation NEVER to play with!Kumekucha mtoto kazoe kudekezwa kila kitu anapewa wazazi sasa wamechoka🤣
Jamaa wana roho mbaya Sana halafu hapa bongo utaskia god bless israel pumbu zaoWanakumbi.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken na Waziri wa Ulinzi Lloyd Austin waliifahamisha Israel kwamba ikiwa misaada ya kibinadamu haitaingia Gaza ndani ya siku 30, utawala wa Marekani utalazimika kuamsha "Mkataba wa Usalama wa Taifa" na kuzuia uhamisho wa silaha kwa Israeli chini ya sheria ya misaada.
=========================
U.S. Secretary of State Antony Blinken and Secretary of Defense Lloyd Austin informed Israel that if humanitarian aid does not enter Gaza within 30 days, the U.S. administration will be forced to activate the “National Security Memorandum” and prevent the transfer of weapons to Israel under the aid law.
Chanzo: Itamar Eichner - Yedioth Ahronoth
UP DATE.
=======================
View: https://x.com/suppressednws/status/1846247321782440304?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Ni sawa na uwafungue watoto wwko ndani halafu ujisifu kuwa kila mmoja atachapwa .. wakati ww ndo mmiliki ..Israel is fighting in five fronts at the same time including Gaza, West Bank, Southern Lebanon, Yemen and Iran. That's the nation NEVER to play with!
Huo mfano watakuwlewa wenzako tu. Kwangu mimi hata sielewi umeandika nini.Ni sawa na uwafungue watoto wwko ndani halafu ujisifu kuwa kila mmoja atachapwa .. wakati ww ndo mmiliki ..
Hamna lolote US toka lini akawanyima silaha Israel.Wanakumbi.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken na Waziri wa Ulinzi Lloyd Austin waliifahamisha Israel kwamba ikiwa misaada ya kibinadamu haitaingia Gaza ndani ya siku 30, utawala wa Marekani utalazimika kuamsha "Mkataba wa Usalama wa Taifa" na kuzuia uhamisho wa silaha kwa Israeli chini ya sheria ya misaada.
=========================
U.S. Secretary of State Antony Blinken and Secretary of Defense Lloyd Austin informed Israel that if humanitarian aid does not enter Gaza within 30 days, the U.S. administration will be forced to activate the “National Security Memorandum” and prevent the transfer of weapons to Israel under the aid law.
Chanzo: Itamar Eichner - Yedioth Ahronoth
UP DATE.
=======================
View: https://x.com/suppressednws/status/1846247321782440304?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
What about Gaza fighting with Us,Uk, German and Israel without food?Israel is fighting in five fronts at the same time including Gaza, West Bank, Southern Lebanon, Yemen and Iran. That's the nation NEVER to play with!
And who is providing food in Gaza? Your mother? Ahahahahaha!!What about Gaza fighting with Us,Uk, German and Israel without food?
Dah bwana mkubwa eeh,mpunguzie mateso mwenzio basi. Unamtesa sasaNashindwa kuelewa, hebu eleza unachofahamu sio kuongea kwa vituo..
US imejengwa na kina nani?
Ilienda kushambulia? Ulishafuatilia shambulizi la Pearl Harbor?
US aliingia vita kamili, Israel haikuwepo.
Ndio maana nakuuliza kama US anaitegemea Israel WW2 Israel ilikuwa wapi?
Ngoja nitafte material kwanza mzee nijisomee nisitoe boko nikachekwaNashindwa kuelewa, hebu eleza unachofahamu sio kuongea kwa vituo..
US imejengwa na kina nani?
Ilienda kushambulia? Ulishafuatilia shambulizi la Pearl Harbor?
US aliingia vita kamili, Israel haikuwepo.
Ndio maana nakuuliza kama US anaitegemea Israel WW2 Israel ilikuwa wapi?
Cha kumuachia tu cha kianzio ni kwamba israel ambae ndo yakobo ametajwa kwenye biblia kitabu cha mwanzo-agano la kale sasa jiulize baina ya yakobo ambae ndo alikuja kubadilishwa jina baadae na muumba mwenyewe kua israel na marekani nani alitangulia.Hapo ndo utajua nani mwenye nguvu.Dah bwana mkubwa eeh,mpunguzie mateso mwenzio basi. Unamtesa sasa
Wayahudi waishio Iran nao ni waisrael?Wayahudi ndiyo Waisraeli
Bila Marekani, taifa la Israel hata masaa 24 hayafiki litakuwa limefutika.Kwani kati ya USA na israel nani anamtegemea zaidi mwenzie?
Yakobo mashariki ya kati na Marekani wapi na wapi mkuu!?Cha kumuachia tu cha kianzio ni kwamba israel ambae ndo yakobo ametajwa kwenye biblia kitabu cha mwanzo-agano la kale sasa jiulize baina ya yakobo ambae ndo alikuja kubadilishwa jina baadae na muumba mwenyewe kua israel na marekani nani alitangulia.Hapo ndo utajua nani mwenye nguvu.
Ulisomea wapi ujinga !??.....Eti Marekani alishinda WW2.... Aseee.Nazi Germany, Italy na Japan.
And who blocks food to enter Gaza?And who is providing food in Gaza? Your mother? Ahahahahaha!!