Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken na waziri wa ulinzi Lloyd Austin, watoa ovyo kwa Israel

Acha kujipa moyo, wazazi na watoto hawawezi gombana sbb ya magaidi ya Hamas, hilo sahau, kipigo kitakatifu kwa Hamas and Hezbollaah kipo pale pale..!!
⚡️ Kan Hebrew Channel:

Netanyahu agreed during the meeting to involve a security company in the distribution of humanitarian aid in Gaza under Israeli supervision. However, this is fraught with challenges and will take time to implement. Therefore, Israel is drafting immediate emergency procedures to improve the situation in Gaza within a short timeframe. These procedures are expected to be presented to the political leadership, possibly as early as next week.
 
Wanakumbi.

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken na Waziri wa Ulinzi Lloyd Austin waliifahamisha Israel kwamba ikiwa misaada ya kibinadamu haitaingia Gaza ndani ya siku 30, utawala wa Marekani utalazimika kuamsha "Mkataba wa Usalama wa Taifa" na kuzuia uhamisho wa silaha kwa Israeli chini ya sheria ya misaada.
=========================
U.S. Secretary of State Antony Blinken and Secretary of Defense Lloyd Austin informed Israel that if humanitarian aid does not enter Gaza within 30 days, the U.S. administration will be forced to activate the “National Security Memorandum” and prevent the transfer of weapons to Israel under the aid law.

Chanzo: Itamar Eichner - Yedioth Ahronoth

UP DATE.
=======================

View: https://x.com/suppressednws/status/1846247321782440304?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Endelea kujifariji,Kichapo kwa mqgaidi pamoja na vikwazo viko palepale
 
Kumekucha mtoto kazoe kudekezwa kila kitu anapewa wazazi sasa wamechoka🤣
Israel is fighting in five fronts at the same time including Gaza, West Bank, Southern Lebanon, Yemen and Iran. That's the nation NEVER to play with!
 
Wanakumbi.

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken na Waziri wa Ulinzi Lloyd Austin waliifahamisha Israel kwamba ikiwa misaada ya kibinadamu haitaingia Gaza ndani ya siku 30, utawala wa Marekani utalazimika kuamsha "Mkataba wa Usalama wa Taifa" na kuzuia uhamisho wa silaha kwa Israeli chini ya sheria ya misaada.
=========================
U.S. Secretary of State Antony Blinken and Secretary of Defense Lloyd Austin informed Israel that if humanitarian aid does not enter Gaza within 30 days, the U.S. administration will be forced to activate the “National Security Memorandum” and prevent the transfer of weapons to Israel under the aid law.

Chanzo: Itamar Eichner - Yedioth Ahronoth

UP DATE.
=======================

View: https://x.com/suppressednws/status/1846247321782440304?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Jamaa wana roho mbaya Sana halafu hapa bongo utaskia god bless israel pumbu zao
 
Israel is fighting in five fronts at the same time including Gaza, West Bank, Southern Lebanon, Yemen and Iran. That's the nation NEVER to play with!
Ni sawa na uwafungue watoto wwko ndani halafu ujisifu kuwa kila mmoja atachapwa .. wakati ww ndo mmiliki ..
 
Wanakumbi.

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken na Waziri wa Ulinzi Lloyd Austin waliifahamisha Israel kwamba ikiwa misaada ya kibinadamu haitaingia Gaza ndani ya siku 30, utawala wa Marekani utalazimika kuamsha "Mkataba wa Usalama wa Taifa" na kuzuia uhamisho wa silaha kwa Israeli chini ya sheria ya misaada.
=========================
U.S. Secretary of State Antony Blinken and Secretary of Defense Lloyd Austin informed Israel that if humanitarian aid does not enter Gaza within 30 days, the U.S. administration will be forced to activate the “National Security Memorandum” and prevent the transfer of weapons to Israel under the aid law.

Chanzo: Itamar Eichner - Yedioth Ahronoth

UP DATE.
=======================

View: https://x.com/suppressednws/status/1846247321782440304?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Hamna lolote US toka lini akawanyima silaha Israel.
 
Israel is fighting in five fronts at the same time including Gaza, West Bank, Southern Lebanon, Yemen and Iran. That's the nation NEVER to play with!
What about Gaza fighting with Us,Uk, German and Israel without food?
 
watu lazima mtambue ya kwamba US kuna uchaguzi wa Rais hapo siku chache mbeleni sasa na serikali hii ya democratic ndio ipo accountable Kwa yote yanayo endelea hapo middle east sasa Ili kubalansi mahesabu lazima wajibarague Kwa vimaneno flani Ili kuwateka watu akili.
 
Nashindwa kuelewa, hebu eleza unachofahamu sio kuongea kwa vituo..

US imejengwa na kina nani?
Ilienda kushambulia? Ulishafuatilia shambulizi la Pearl Harbor?

US aliingia vita kamili, Israel haikuwepo.

Ndio maana nakuuliza kama US anaitegemea Israel WW2 Israel ilikuwa wapi?
Dah bwana mkubwa eeh,mpunguzie mateso mwenzio basi. Unamtesa sasa
 
Ngoja nitafte material kwanza mzee nijisomee nisitoe boko nikachekwa
 
Dah bwana mkubwa eeh,mpunguzie mateso mwenzio basi. Unamtesa sasa
Cha kumuachia tu cha kianzio ni kwamba israel ambae ndo yakobo ametajwa kwenye biblia kitabu cha mwanzo-agano la kale sasa jiulize baina ya yakobo ambae ndo alikuja kubadilishwa jina baadae na muumba mwenyewe kua israel na marekani nani alitangulia.Hapo ndo utajua nani mwenye nguvu.
 
Yakobo mashariki ya kati na Marekani wapi na wapi mkuu!?
Sehemu mbili tofauti na asili mbili tofauti na mabara mawili tofauti.
 
Back
Top Bottom