Waziri wa mambo ya Nje wa Zimbabwe amefariki kutokana na maradhi ya COVID

Waziri wa mambo ya Nje wa Zimbabwe amefariki kutokana na maradhi ya COVID

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1611135856870.png


1611135792930.png
 
Ukilinganisha na ambao haijawadhuru ni wengi ambao wanazidi Zaid ya million
Mfano marekani waliopewa chanjo ni Zaid ya million na waliofariki ni 50 Kama unavyo dai kwa hiyo kwenye statistical significance ni ndogo sana

Ndo maana walisema pfizer/ moderna Ina statistical significance ya 95%

Tusipende kuongea vitu tusivyovijua
 
Serikali yetu iwe makini sana wasikubali kuletewa chanjo za kampuni za Pfizer na moderna, kumpuni ya moderna inatumia fedha nyingi na hila katika harakati zake za kutaka kulazimisha Dunia ikubali chanjo zao zenye walakini mkubwa.

Watanzania tutakuwa salama tukitumia chanjo za kutoka China au Urusi - hizi chanjo za magharibi wanalazimisha mno, mpaka kufikia hatua ya kufanya usanii wanajitia wanawadunga sindano za chanjo Viongozi wa ngazi za juu wa Mataifa hayo kumbe hiyo si kweli wanafanya maigizo tu mbele ya TV kuwazuga raia wakubali kuchanjwa ili kampuni hizo zipige hela ndefu - hilo ndilo lengo lao kuu.
 
Acha upumbavu wewe! Kwani chanjo za Polio, surua, kifua kikuu na madawa tunayotumia hospitalini tunatengeneza Nchini?
Serikali yetu iwe makini sana wasikubali kuletewa chanjo za kampuni za Pfizer na moderna, moderna frdha nyingi na hila kutaka kulazimisha Dunia ikubali chanjo zao zenye walakini mkubwa.

Tutakuwa salama tukitumia chanjo za kutoka China au Urusi - hizi za magharibi wanalazimisha mno, mpaka kufikia usanii wanawadunga sindano za chanjo Viobgozo wa juuu wa Nataifa yao kunbe hiyo si kweli wanafanya maigizo mbele ya TV kuwazuga raia ili wakubali kuchanjwa.
 
Bahati ipi? Kumbuka Mahiga na yule Mama Rwakatare na vifo vinaendelea Mkuu.
Poa poa...
Wengine tunaishi kwa kufata ule usemi
Zakuambiwa changanya na zako

Ova
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Acha upumbavu wewe! Kwani chanjo za Polio, surua, kifua kikuu na madawa tunayotumia hospitalini tunatengeneza Nchini?

Mind your tongue you damn silly fool - typical moronic behavior like a drunken comet - unawezaje kubwatukia watu ambao huwajui vizuri?

Hapa tunazungumzia kuhusu vaccines za ku-innoculate raia dhidi ya ugonjwa wa COVID-19, sasa kutokana na sintofahamu kuhusu origin ya ugonjwa huo ndio maana nikapendekeza kwamba Serikali yetu iwe makini kwenye suala hili especially kama kutakuwepo ulazima wa kununua chanjo, basi, zinunuliwe kutoka kwenye mataifa ambayo hayana ajenda za siri kuhusu ku contain population explosion kwenye third World - huo ulikuwa ni ushauri wangu - kama wewe ufatilii kwa karibu speeches za Bill Gates especially presentation aliyo toa mwaka 2015 miaka mitano kabla ya COVID -19 haija ikumba Dunia - alijuaje sura ya virus itakavyo fanana to the letter miaka mitano baada ya kutoa speech yake ambayo iliambatanishwa na michoro (graphics, Bill Gates si mtume wala nabii mwenye maono, je, alijuaje sura ya Virus itakavyo fanana.

Sasa swali ni: wangapi wanajua ajenda za siri za Bill Gates na wenzake ambao wako overly obsessed na upunguzaji wa World population, hasa idadi ya watu kwenye third World Nations -Bill Gates na genge lake ovu wakiwemo akina: Billionea SOROS, Billionea Buffet, Rockerfella foundation, RothsChild family - mabillionea wote walio tajwa hapo juu wanadai wana wajibu mkubwa wa kupunguza idadi ya watu Duniani kwamba wasipo fanya hivyo basi Dunia itapungukiwa na resources, wako Determined and well organised kutekeleza ajenda zao kwa siri kwa kupitia kwenye chanjo zao, mfano: Chanjo wanazo dai zinazuia cancer ya kizazi kwa wasichana mashuleni na akina mama - Ufilipino, Malaysia, Thailand na India walizipiga marufuku baada ya kugunduwa kwamba chanjo hizo zinawafanya akina mama wasitunge mimba kirahisi na in case ikitokea wakashika mimba inatoka yenyewe/abort.

Kwa kuwa nilijua kwamba mfadhili mkubwa wa maabara za tafiti za chanjo pamoja na madawa ni Bill Gate pamoja na like minds wenzake, basi Serikali yetu hisiruhusu chanjo hizo kuingizwa nchini na kuwachanja Watanzania, nikaongezea kwamba raia wa Tanzania tutakuwa safe tukitumia chanjo za kutoka aidha Urusi au China, at least mataifa hayo hayana ajenda za ajabu ajabu - hicho ndicho nilikuwa naamaanisha mimi.
 
Back
Top Bottom