Waziri wa mambo ya Nje wa Zimbabwe amefariki kutokana na maradhi ya COVID

Who told you I need to know you in order to conclude that you’re ZERO BRAIN?

Toa upumbavu wako hapa! Waafrika tumetumia vaccination na madawa mbali toka nchi za Magharibi kwa miaka chungu nzima bila matatizo yoyote Halafu leo unakuja humu kuandika UZWAZWA wako!!!
 
Serikali inasema maombi ya siku tatu kwa Mungu yamemaliza ugonjwa.

Chanjo ya nini?
 
Almost madawa yote na chanjo tunazotumia zinatoka kwenye kampuni za Western acha uzwazwa
 
Serekali yako inataka kununu au inasubiria msaada Kama Ilivyokua kwenye ARVs na chanjo nyingine

Kwa kukusaidia serekali hata bajeti haijatenga ya kununua hizo chanjo, na bill gate ana uhusikaje na Pfizer/ biotech vaccine achana na hizo conspiracy theory

Chanjo ya china Ina success rate ya 50%, na Pfizer/biotech na moderna 95%, Wazungu wangetaka kuuwa waafrika wangewaua siku nyingi sana, usifanye watu ni watu ni wajinga alafu wewe ndo unaakili,
 
Ni mjing sana
 

Nimewambieni fatilieni big pharma companies zinazo pewa rusuku kubwa kutoka kwenye mfuko wa Bill/Melinda Gates foundation kama unasema Pfizer/Biotech na Moderna hawapewi funds za kufanyia tafiti za chanjo za COVID-19 na chanjo nyingine basi wewe ni mbishi tu by default - hutaki kujua ukweli - eti Chinese vaccine success rate ni 50% while Pfizer/Biotech na Moderna ni above 95% una ushahidi gani wa kisayansi ku-support madai yako, wakati hata WHO na wana sayansi wanao walisema madawa na chanjo za kampuni ya Moderna hazina ufanisi wowote wanacho fanya ni kutumia MSM kulazimisha Dunia ikubaliane na dawa/chanjo zao zenye walakini mkubwa, hata Rais Trump alipo umwa wasaidizi wake walikataa kutumia madawa yanayo zalishwa na kampuni ya Moderna, kitu kingine hakuna popote nilipo sema wazungu wamepania kutuua - ninesema genge la Bill Gates, ambaye anapingwa mpaka na wazungu wenzake wa huko America na Ulaya kwamba hana nia nzuri - sasa wewe kama unaona wanao pinga ajenda zake ni wehu, basi jitolee kuwa wa kwanza kudungwa chanjo zao.

Chanjo za Uchina na Urusi zimesambazwa mataifa mengi ya America ya kusini, mashariki ya kati na Misri, je mataifa hayo yana maoni gani kuhusu ufanisi wa chanzo hizo including after effect compared na western stuff - kinacho fanyika ni ushindani wa biashara pamoja na hidden ageda za makampuni mengine hasa ya magharibi, ukweli unabaki kwamba sijawahi kuona/sikia ushahidi waku-support kwamba Success rate ya western produced vaccine ni above 95% or there about.
 
Muda ukifika utajua!!! Kumbuka kuwa wanasiasa sio watu wa kuwaamini!!!
Kumbuka JPM si mwanasiasa bali mwanasayansi. Politician ni yule Mr Mzungu anayedai mchana kweupe mbele ya kamera eti hospital facilities siyo maendeleo. Muangaliega na nyie watu wa kuwaweka frontline!???
 
Huyu jamaa ni zwazwa sana,ana itikadi za Kikomunist kila kila cha Magharibi hakitaki lakini anatumia Innovation zao.
 
Acha upumbavu wewe! Kwani chanjo za Polio, surua, kifua kikuu na madawa tunayotumia hospitalini tunatengeneza Nchini?
Labda zinatengenezwa China au Urusi... 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…