Waziri wa Masuala ya Afrika Mashariki wa Rwanda awekewa vikwazo na Marekani. Mungu wabariki wazungu, Mungu mbariki Trump!

Hapo mwisho nimecheka sana..na huyu nakumbuka wakati tumepeleka jeshi pale DRC kupitia SAMIDRC alikuja Tanzania akakaa kama wiki mbili pale Zanzibar akijifanya kufuatilia kombe la mapinduzi,baada ya hizo wiki mbili Kagame na M7 wakaja kumuona Samia na Hussein Mwinyi
 
Heri wazungu kwa Sasa kuliko waafrika. Mwafrika Ni mbaya zaidi Tena naona Bora watutawale Tena wazungu
 
Yaaani huyu ndo Think Tank na Brain ya Kagame.

All Rwanda and Kagame atrocities the man behind such evil ni huyu Gen. James Kabarebe.
 
Mungu ambariki Trump huyuhuyu anayetaka kuyachukua makazi ya Wapalestina labda kama unamzungumzia abarikiwe na Shetani sawa
Hayo ya wa Palestine hayatuhusu ndo maana hujawahi msikia hata mwarabu mmoja akionyesha sympathy Kwa wacongo Wala blacks wengine waoupitia madhira
 
Field General James Kabarege aka the war machine, kiongozi wa operation Kitona, PK right hand man na mmoja wa master mind wa operation nyingi sana za RPF.

Mmoja wa watu wenye nidhamu sana kwenye taalum yake ya kijeshi, ni moja ya watu wazalendo sana kwa Taifa lao la Rwanda, lakini ni moja ya askari mtiifu sana kwa PK.
Naamini kama Mwenyezi Mungu akimchukua Leo PK basi Gen James Kabarege anaweza kushika usukani.
 
Ikimpendeza trump aichukue DRC iwe jimbo la marekani.Bamutu ba Congo banateseka sanaaa.Nina imani Gaza hakuna cha maana Zaidi ya Congo.

Wacongomani watafurahi sana kuwa part ya amerika😂
😂😂
 
Hiyo michango ya hizi jumuiya za maigizo ni heri nchi wanachama wangebaki na michango yao wakaenda kujenga vyoo kwenye kaya maskini na mashuleni.Kuchimba visima na kujenga miundombinu ya barabara mitaani.
 
Hayupo kwenye succession plani. Urais wa PK ni wa kifalme!!!
 
Sasa mkuu kama ni hivo kila binadamu ni mshenzi tuu mbona.
Kwani tangu tupate uhuru wetu mbona tunatufuana wenyew kwa wenyew?


Viongoz wanaohujum mali za mataifa yao na kukimbiza fedha huko Ulaya wanatumwa na wazungu?.
Wanaoteka na kuua raia wao kwa kutofautiana kisiasa wanatumwa na wazungu?
Wanakwamisha maendeleo ya mataifa yao ili kuwakomoa waliomadarak wanatumwa na wazungu?
Wanaobaguana kikabila na kidini wanatumwa na wazungu?

Kama jibu ni ndiyo, basi sisi tunaokubali kutumika vibaya kudhuriana sisi kwa sisi ndo tutakuwa washenzi kuliko hao tunaowaita wazungu.
 
Hayo ya wa Palestine hayatuhusu ndo maana hujawahi msikia hata mwarabu mmoja akionyesha sympathy Kwa wacongo Wala blacks wengine waoupitia madhira
Sema wewe ndiyo hayakuhusu ila aliyewaumba wanadamu yanamhusu kwa sababu binadamu wote kwake ni sawa na wana thamani

Mtu mzima halafu unaongea usenge usenge punguza u much know
 
Sema wewe ndiyo hayakuhusu ila aliyewaumba wanadamu yanamhusu kwa sababu binadamu wote kwake ni sawa na wana thamani

Mtu mzima halafu unaongea usenge usenge punguza u much know
Sawa wewe unajiona unathamani sawa na wao ila wao hawakuoni hivo kwaiyo ni mhimu kubalance shobo
 
Mabeberu ndio kiboko ya PK...
 
Baada ya kikao cha EAC & SADEC, Kagame alisema hatishwi na mtu na hapangiwi na mtu. Baada ya vikwazo vya US, kasema ni vyema us ikaheshimu juhudi za jumuia za kikanda!
Huyu Mzee vikwazo vikimwingia sawasawa atalegea tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…