Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wananchi wanafungiwa line zao kwa makosa ya Nida,Uhamiaji na Rita haiingii akili kuwafungia wananchi wakati wanaochelewesha wanajulikanaLeo tarehe23_12_2019 Watanzania wengi wamejiandikisha Nida ili kupata namba za kitambulisho waweze kusajili line zao,wapo watanzania ambao hawajapata hizo namba hadi leo.wakati walishajiandikisha toka mwezi wa kumi.
waziri wa mawasiliano unapokuja hadharani kusema utazifungia line za watanzania ambao hawajasajili line zao kwa alama za vidole,huoni kuwa unawaonea,kwanini usianze na hawa NIDA? kuwafungia?
leo bado watu wanajiandikisha huko nida na watachukua mda mrefu kupata hizo namba huoni kuwa utakuwa umewaonea?ulipaswa waziri wa mawasiliano na waziri wa mambo ya ndani mkae mkubaliane kwa pamoja ili hawa nida ndio wawe wa mwanzo kuwajibika kabla ya watanzania ambao wapo wanasumbuka kila siku kwenda kufatilia namba zao huko NIDA
walitakiwa kuanza na NIDA ndio waje kwetu wananchiWananchi wanafungiwa line zao kwa makosa ya Nida,Uhamiaji na Rita haiingii akili kuwafungia wananchi wakati wanaochelewesha wanajulikana
Sent using Jamii Forums mobile app
simulia sana omba yasikukute,Mlipoambiwa mjiandikishe mwanzoni mliona uvivu leo mambo yanaenda mpwitompwito mnatupigia kelele humu
Sent using Jamii Forums mobile app
We miezi miwili tu mwenzio toka mwaka jana mwezi wa nne, hata muda sina nishafuatilia nimechoka wafunge tu line zangu no way nitaishi kijimaMiongoni mwa tasisi zinazoudhi ni hii mtu umejiandikisha mwezi wa 9 detail zote umeweka hadi namba ya simu umeweka cha ajabu unakaa miezi takribani miwili bila kujua kinachoendelea.
Mwisho wa siku unaamua ngoja niende ofisi za nida kufatilia namba yangu ya nida nijue tatizo ni nini kisha unaambiwa eti namba imezuiliwa kwa kua majina yamekosewa(majina ya ukoo yametofautiana) na wakati pale kwenye form uliambatanisha kiapo cha mahakama.
Kama ni kuizuia kwanini mhusika asipigiwe simu au ujumbe mfupi mapema kujulishwa mkanganyiko uliojitokeza na kipi kirekebishwe.
Mi mwenyewe walinambia eti nianze mchakato upya,nishachoka kama vipi wafunge tu.We miezi miwili tu mwenzio toka mwaka jana mwezi wa nne, hata muda sina nishafuatilia nimechoka wafunge tu line zangu no way nitaishi kijima
Kwahili atatengua tu,we subiri utaona.......ila mwenzio nina ID tangu enzi za Jk......jitahidi kama huna upate hata namba.....ila kwa hili atatenguaTatizo mjomba MAGU hatabiliki hata kidogo,