Waziri wa mawasiliano kabla ya kufungia line zetu mkawafunge kwanza NIDA

Kwa hiyo hao wanaotuambia kuwa walijisajiri toka mwezi wa nane ni waongo?
 
Anko hawezi ruhusu kitu kama hicho nyi endeleeni kusema mtafunga sijui ila The final say hawez kuwaruhusu wakati ujinga unafanywa na NIDA
 
Hata mimi picha zilivyorudi kwa uhakiki yangu ilikuwepo cha ajabu familia yangu wote wameshapata vitambulisho na tulijiandikisha siku moja tena tumefuatana kwenye mstari eti leo mimi tu naambiwa taarifa hazipatikani
 
Mimi nasubiri kwa hamu wanifungie laini zangu hawanitishi kabisa haiwezekani usajili wenye huko NIDA miyeyusho na kuzungushana.

WAFUNGE TU BARUA ZIPO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ningechagua namba 2 [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Manengelo said:
Mie toka aug nimejiandikisha had leo bila bila
Bora ww August... Mi ndo kwanza jana nimejaza form, halaf kwenye picha sasa ya kuambatanisha na hyo form... Nimeambiwa njoo piga kesho kutwa maana karatasi za picha zimeisha hadi tuzifuate.

(Nipo huku vijijini).
 
Nida kwanza wanatakiwa wafungiwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…