Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mpango kazi wote wamepewa BMTWamchunguze kama kweli begi lilipotea au wamchunguze kama kweli alipigwa
Sasa si kila mtu na nafasi yake huyu ni wazr wa michezo 🙂Badala waangalie maisha yanavyotupiga na matozo yao wanahangaika na mtu au watu ambao ni hiari zao kufanya wanavyotaka..
Serikali au yeye binafsi angeanza kuifuatilia mapema hyo Taifa Stars ningemuona wa maana. Na ishu ya Mwakinyo leo ndo wanamjua mtu from kitambo anajiinua mwenyewe si wameanza kumfatilia juzi juzi tuu hapa.Sasa si kila mtu na nafasi yake huyu ni wazr wa michezo 🙂
Ooow hapo sawa ulipo sema asemee kuhusu tozo hapo ndio nilikuwa sijaelewa maana yeye ni wazir wa michezoSerikali au yeye binafsi angeanza kuifuatilia mapema hyo Taifa Stars ningemuona wa maana. Na ishu ya Mwakinyo leo ndo wanamjua mtu from kitambo anajiinua mwenyewe si wameanza kumfatilia juzi juzi tuu hapa.
Nimesema tuu ki ujumla hata yy anaweza kututetea hizo tozo maana kuna siku watacheza wenyewe uwanjani maana watu watakosa hela za viingilioOoow hapo sawa ulipo sema asemee kuhusu tozo hapo ndio nilikuwa sijaelewa maana yeye ni wazir wa michezo
Wasisahau kuchunguza na tozoMh Mchengerwa ameagiza BMT kuchunguza kichapo cha Taifa Stars huko Uganda , ambako walitupwa nje kabisa ya michuano ya CHAN , na pia Mwakinyo ametakiwa kuchunguzwa kutokana na kupoteza pambano lake huko Liverpool baada ya begi lake kupotea .
Chanzo : Mwananchi
Kuna mtu alijisemea
"Usikute huko mbinguni Tanzania ni channel ya vichekesho".
Halafu akishachunguzwa? Mwakinyo kwani mnamdai au alikuwa anawakilisha timu gani ya taifa? Kambi yake nchi ilichangia au anadaiwa benderaMh Mchengerwa ameagiza BMT kuchunguza kichapo cha Taifa Stars huko Uganda , ambako walitupwa nje kabisa ya michuano ya CHAN , na pia Mwakinyo ametakiwa kuchunguzwa kutokana na kupoteza pambano lake huko Liverpool baada ya begi lake kupotea .
Chanzo : Mwananchi
Hii ni wizara ya michezo. Kila mahala na wajibu wake.Badala waangalie maisha yanavyotupiga na matozo yao wanahangaika na mtu au watu ambao ni hiari zao kufanya wanavyotaka..