Hao watoto watafutwe viwanja hata kama ni nje ya mji, miundo mbinu serikali ijengeWatoto Mahitaji Yao Makubwa ni Malezi Bora.!
Tuwajengee Future nzuri Watoto....Mbio za Maokoto Wakikua Watazikuta tu...! Tusiwaharibu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao watoto watafutwe viwanja hata kama ni nje ya mji, miundo mbinu serikali ijengeWatoto Mahitaji Yao Makubwa ni Malezi Bora.!
Tuwajengee Future nzuri Watoto....Mbio za Maokoto Wakikua Watazikuta tu...! Tusiwaharibu..
Tatizo la watanzania wengi linaanzia kichwani , Sheria ipi inamlazimisha mtu kumlipa mtoto wakati hayuko kwenye mkataba wa ajira yoyote , kwenys ma elfu ya watoto wa umri wao washukuru kupatiwa nafasi hiyo.Tapeli ww umekuja kutetea wizi ...huu upuuzi watoto mnawavunja moyo hata km ni uzalendo si wa kipuuzi hivi bora hata wawape laki moja na usheee
Kuna ujinga wazazi walitaka kuuleta fountain gate academy waliposhinda mashindano south Africa , wazazi wakataka pesa ya zawadi wakati watoto hawalipi ata ada ya secondary ni maajabu kabisa , wazazi waliambiwa tuwapatie watoto wenu tukaribishe wengine maana wapo ma elfu Wana Lilia nafasi akili ikawarudia.Tunayo Shida na Malezi ya Watoto kwa Sasa..!
Hivi Kitoto under 15 ukikabidhi Laki nzima ili iweje..?
Hiki Kitoto under 15 years Kikisha zoea pesa, Kesho kikiwa Kijizi Utamlaumu Nani..?
Usichoelewa wale watoto hawakucheza bure, walilipwa. Leo kampuni inakulipa mshahara ili uiingizie faida cha ajabu faida inapatikana unaona nayo ni haki yako. Kampuni nyingi zinakupa bonus kutoka kwenye faida na tff wamefanya.Uzalendo sio kunyonya jasho la mwrnzako, tff wanaiba 2025 utaona wengine wanapenda kugombea ubunge.
Kama huna akili muda mwingine bora unyamaze uufiche ujinga wakoKwani hao Watoto Wameshavuka Miaka 18..?
Kama Hawajavuka Miaka 18 ,Elf 20 Mbona bado ni nyingi?
Wangepewa alf 3 tu...
Nchi hii ina wahuni sana kwa upande wa pesa!Rais wa TFF ametoka adharani na kusema fedha walizoshinda watoto under 15 zinakwenda kujenga miundombinu ya michezo. Amesema suala hilo lina baraka za CAF.
Tunaomba wizara itusaidie, hawa watoto walipewa mkataba unaosemwa wakipata fedha zinakwenda kujenga miundombinu? Sheria za kimataifa zinakubaliana na jambo hili? Kama hakuna mkataba nani alishiriki kufanya haya maamuzi?
Mbona timu za wakubwa hakuna hizi hoja ? Lakini kama huu ndio utaratibu kwanini msemaji wa TFF alisema wanashughulikia hundi? CAF wanashiriki vipi kubariki utumikishaji wa watoto kwenye michezo? FIFA wanawezaje kukaa kimya haya yakiwa yanatokea dhidi ya mtoto? Milioni 180+ unampa mtoto elfu 20 hata haitoshi kutibu majeraha tena unawatekeleza unakuja DSM?
Mawakili wateteeni hawa watoto yawezekana miaka yote wanafanyiwa hivi na hakuna miundombinu iliyojengwa na hata ikijengwa hiii ni child exploitation.
Tunaomba ufafanuzi wa kina siyo siasa: watuambie huu mkataba wakukata watoto fedha umeshawaumiza watoto wangapi?
Anayetakiwa Kunyamaza na Kuuficha Ujinga Wake ni Wewe.Kama huna akili muda mwingine bora unyamaze uufiche ujinga wako
Kwanini hizo fedha wasikatwe na wakubwa pia?Ndugu muuliza Swali ,kwani Wewe Unataka iweje..?
Huitaki Miundo mbinu ya Michezo iboreshwe...? Au hutaki TFF wazielekeze huko..? Waache nao Watoto wachangie Taifa lao japo Kidogo.?
Mtawafundisha Lini Uzalendo hao Watoto..? Hilo ni Somo La Uzalendo pia..!
😂😂😂Kwani hao Watoto Wameshavuka Miaka 18..?
Kama Hawajavuka Miaka 18 ,Elf 20 Mbona bado ni nyingi?
Wangepewa alf 3 tu...
Hao watoto wamepatiwa platform ya kuonyesha vipaji sio kulipwa hakuna Sheria ya kumlipa mtoto na zawadi ni ya shirikisho inajukumu la kuwatunza hao watoto wakiwa kambini .
Tatizo la watanzania wengi linaanzia kichwani , Sheria ipi inamlazimisha mtu kumlipa mtoto wakati hayuko kwenye mkataba wa ajira yoyote , kwenys ma elfu ya watoto wa umri wao washukuru kupatiwa nafasi hiyo.
Ndugu muuliza Swali ,kwani Wewe Unataka iweje..?
Huitaki Miundo mbinu ya Michezo iboreshwe...? Au hutaki TFF wazielekeze huko..? Waache nao Watoto wachangie Taifa lao japo Kidogo.?
Mtawafundisha Lini Uzalendo hao Watoto..? Hilo ni Somo La Uzalendo pia..!
Umeyaskia mawazo ya wadhamini lakini?Kwanini hizo fedha wasikatwe na wakubwa pia?
Mmeona za watoto tu.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Nenda kwenye website yao, nadhani yote unayouliza yapo.Kila mwaka Fifa inatoa mabilioni ya fedha kuboresha miundombinu, wizara ya michezo ipo inapata fungu kutoka serikalini kwa ajili ya michezo, kuna mikataba Tff imeingia na makampuni tofauti angalia kiasi cha pesa wanachopata mfano kutoka azam kwa ajili ya ligi, hivi sasa kuna mzabuni wa jezi hao wote wanawapa tff fedha!!
Ukiangalia ni miundombinu gani ya maana imejengwa na Tff?
Uwanja wa Mkapa wenyewe marekebisho yaliyofanywa pale, Tff walipeleka tu viti pale!!
Uwanja wa Uhuru umeoza, Tff wamefanya nini?
Watuambie basi bajeti ya mwaka huu ilikuwa kiasi gani, wakapata kiasi gani na wakafanya nini!!!
Tunadanganyika kwa mwavuli eti Karia kipeleka sijui timu Afcon mara mbili na bla bla kibao!!
Tff kuna urasimu uliokubuhu, kuna upigaji wa hali ya juu!!!
Sio wajibu wa Jason la watoto kuboresha miundo mbinu? Pia atuambie ni miundombinu gani watakayoiboresha ili tuione na kuifanyia auditing kama ni kweli 180M+ imetumika kuiboresha hiyo miundo mbinu.Ndugu muuliza Swali ,kwani Wewe Unataka iweje..?
Huitaki Miundo mbinu ya Michezo iboreshwe...? Au hutaki TFF wazielekeze huko..? Waache nao Watoto wachangie Taifa lao japo Kidogo.?
Mtawafundisha Lini Uzalendo hao Watoto..? Hilo ni Somo La Uzalendo pia..!
Hao ni watoto wako una ongelea sio wa wengine, dunia ya sasa hivi biashara ya utumwa haipo, ndio mna mwambia Bernard Kamungo aache uraia wa US aje kupewa 20K? pumbafu zenu kabisaWatoto Mahitaji Yao Makubwa ni Malezi Bora.!
Tuwajengee Future nzuri Watoto....Mbio za Maokoto Wakikua Watazikuta tu...! Tusiwaharibu..
Naona Bwana Kidau unajitahidi kucopy na kupaste hii habari isiyo na reference kwenye kila mada inayohusu gawio la ushindi kwa watoto wetu. Hizi pesa lazima mzitapike mwaka huu. Tutawakalia kooni hadi mziteme.Umeyaskia mawazo ya wadhamini lakini?
Wanavyodhamini wamelenga nini?
Confederation of African Football (Caf) president Patrice Motsepe and his Motsepe Foundation have donated $10million for the establishment of a Fifa-Caf Pan-African School Football Championship.
Motsepe said the money will be used to initiate and support the development and growth of schools football in the 6 CAF Zones.
“The best investment we can make to ensure that African football is amongst the best in the world and self-sustaining‚ is to invest in schools’ football and youth football development infrastructure for boys and girls at club and national level.
"This is one of my key focus areas as President of CAF‚” said Motsepe.
Motsepe was joined by his wife and co-founder of the Motsepe Foundation Dr Precious Moloi-Motsepe at the announcement at the announcement in Abidjan‚ Ivory Coast.
“The Motsepe Foundation is passionate and committed to academic excellence and football excellence‚ and has been sponsoring schools football in South Africa for many years. We are now extending this commitment and passion to the rest of the African continent‚” said Moloi-Motsepe.
Fifa president Gianni Infantino‚ who also attended the event‚ concurred that schools sport is key for unearthing talent and promoting important values of life.
“Schools are an extremely important social vehicle for the promotion of key life values. Football values‚ which include respect‚ discipline‚ teamwork and fair-play‚ are perfect complements for the education of future generations‚ and FIFA is delighted to be part of this important initiative‚ together with CAF‚ for the benefit of youths in Africa.
"Thanks to the generous donation of the Motsepe Foundation‚ joy and hope will be given to millions of children across the continent for the years to come‚” said Infantino.
Boys and girls aged between 12 and 14 will play in the Fifa-Caf Pan-African School Football Championship‚ which will have 3 stages.
It will start starting at national level through national football associations and then move to the six Zonal level tournaments which provide the qualification path to the Fifa-Caf Pan-African School Football Championship Finals.
The winning schools will use the prize money to purchase and provide schools football development and education or academic infrastructure‚ facilities and equipment among others.
Pilot national tournaments will take place in several countries throughout the continent‚ including Benin‚ the Democratic Republic of Congo and Ethiopia‚ with other participating countries to be announced in due course.
Qualification tournaments will be played between May and December 2021‚ with the finals scheduled for February 2022. The first full edition of the Fifa-Caf Pan-African School Football Championship will take place between 2022 and 2023.