Acha hasira kunywa maji mengi moyo ueleeDuh! huyu mwehu anafikiri hawa mabalozi watasaidia umeme usikate?
Mimi toka asubuhi kazi zimesimama eti kisa hakuna umeme, tutaishije hivi jamani?!Mamaeee zake
TumekwishaDeal done. Bado mmarekani aje kurenew mkataba wa simbioni
Pole mkuu. Hope michoro yako ya civil engineering architectural umehifadhi salama kwenye soft copy na wafanyakazi wako kwenye iyo 'fem' yako wasikose ajira.Mimi toka asubuhi kazi zimesimama eti kisa hakuna umeme, tutaishije hivi jamani?!
Huyu siku za usoni namuona akiwa kavaa nguo za wafungwa kama wakina Yona na Mramba.Waziri wa Nishati Mheshimiwa January Makamba amefanya kikao na mabalozi wa nchi za Norway, Sweden na Saudi Arabia nchini Tanzania. Katika kikao hicho amezishukuru nchi hizo kwa mchango mkubwa wanaoipatia Tanzania katika kuendeleza sekta ya nishati.
Waziri Makamba amesema nchi hizo zimeendelea kutoa ushirikiano kwa Tanzania kwa kufadhili miradi mbalimbali katika sekta na kuongeza kuwa Serikali itaendelea kunufaika na fursa mbalimbali zinazotelewa na nchi hizo kwakuwa zipo tayari wakati wowote kufanya kazi na Tanzania.
View attachment 2015132View attachment 2015133View attachment 2015134
Eti anasema TZ hakuna crane ya tani 26, anatuhujumuHuyu siku za usoni namuona akiwa kavaa nguo za wafungwa kama wakina Yona na Mramba.
Makamba wizara moja imekushinda, sasa unataka uraisi. Utawezaje mudu wizara zote?Waziri wa Nishati Mheshimiwa January Makamba amefanya kikao na mabalozi wa nchi za Norway, Sweden na Saudi Arabia nchini Tanzania. Katika kikao hicho amezishukuru nchi hizo kwa mchango mkubwa wanaoipatia Tanzania katika kuendeleza sekta ya nishati.