Bhikalamba
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 1,916
- 2,756
Naunga mkono hoja. Na hili nimekuwa nikilisema mara kadhaa, kwanini tusiagize mafuta Urusi yanapopatikana kwa bei chee. Ona Sasa hata Saudi Arabia ambaye ni mzalishaji mafuta anaagiza Urusi. Sisi yunakwama wapi? Mbona hao West tunao waogopa bado wananunua bidhaa muhimu kutoka hukohuko Urusi?Waziri aangalie upo uwezekano kupata mafuta ya bei poa toka urusi. Tunapigwa na wahindi kama vile hatuna akili. Wao wanapata discounted mafuta kwa 30pc toka urusi halafu wanatupiga huku waagizaji wetu hawajali bei kwa wananchi mradi wao chao wanapata.