Waziri wa nishati simamia Mafuta yapatikane

Naunga mkono hoja. Na hili nimekuwa nikilisema mara kadhaa, kwanini tusiagize mafuta Urusi yanapopatikana kwa bei chee. Ona Sasa hata Saudi Arabia ambaye ni mzalishaji mafuta anaagiza Urusi. Sisi yunakwama wapi? Mbona hao West tunao waogopa bado wananunua bidhaa muhimu kutoka hukohuko Urusi?
 
Labda kuna mikataba haiwaruhusu kununua urusi
 
Wale kampuni ya UAE aliyosema waziri makamba watafungua kituo cha kuhifadhi mafuta ( depot) kwa ajili ya kusambaza kwa Mahitaji ya Tanzania na jirani wamefikia wapi ?
 
Naibu Waziri Mkuu, kaa chini na Waziri wa fedha awape dola waagiza mafuta ili
Wizara ikitengemaa, huyo ndugu atahamishwa ili aletwe wa kutengeneza "connection" tabu sana!
 
Wizara ikitengemaa, huyo ndugu atahamishwa ili aletwe wa kutengeneza "connection" tabu sana!
Hatuoneani huruma hii nchi,viongozi wajitahidi kuwa na huruma
 
Kuna takwimu nadhani ilitolewa na Chanzo, ni kwamba Privates Wana helq kuliko serikali. Unganisha dots!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…