Waziri wa Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Anjela Kairuki jiuzulu!

Waziri wa Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Anjela Kairuki jiuzulu!

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Nirejee kusema kuwa Waziri Anjela Kairuki Wizara hiyo imekushinda.

Wizi ni 100% kwenye mikoa na Halmashauri, nchi pia ukirejea ripoti ya CAG.

Nikutake utamke neno moja Tu, Jiuzulu nafasi hiyo japo Hata Samia mambo yamshinda Yeye Tutakuwana naye kwenye kampeni 2025
 
Kuna Mawaziri hadi leo sijaelewa sababu ya wao kuwa mawaziri
 
Nirejee kusema kuwa Waziri Anjela Kairuki wizara hiyo imekushinda.

Wizi ni 100% kwenye mikoa na Halmashauri Nchi Pia ukirejea ripoti ya CAG.

Kuna ukweli kuwa akili yako iko china huwezi habari ya Halmashauri na mikoa nchini.
Nikutake utamke neno moja Tu, Jiuzulu nafasi hiyo japo Hata Samia mambo yamshinda Yeye Tutakuwana naye kwenye kampeni 2025
Una uhakika? Dawa ni kujiuzulu au kufichua wezi Ili hatua zichukukiwe?

Wewe Ukiwa Waziri ndio wizi utakoma?
 
Una uhakika? Dawa ni kujiuzulu au kufichua wezi Ili hatua zichukukiwe?

Wewe Ukiwa Waziri ndio wizi utakoma?
 
Watawala wa ccm na utamaduni wa kujiuzulu, wapi na wapi!
 
Back
Top Bottom