Una uhakika? Dawa ni kujiuzulu au kufichua wezi Ili hatua zichukukiwe?
Wewe Ukiwa Waziri ndio wizi utakoma?
Mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mrisho Gambo ameiibua ufisadi mwingine katika Jiji la Arusha akisema anajitoa ‘kafara’ kwa ajili ya wananchi. lakini kwa vyovyote ni lazima aseme namna fedha...