Dallas green
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 1,377
- 2,800
Waziri wa TAMISEMI muwe serious hii ni nchi sasa mnalowalazmisha watoto waripoti bila kuwalipa mnakuwa mnategmea nini?
Sisi wazazi, mahindi mmesema tusiuze nje tunauza kwa hasara tujikimu sasa tena na Watoto mmewaajiri mikoa ya mbali huku mkifosi wafike na hamjawapa nauli pesa ya kuishi wala mshahara, mfano ni Wilaya ya Arusha.
Kumbukeni hii ni nchi sio kampuni na mnatia vitisho kuwa ni kanuni za utumishi mtu kuripoti bila kumlipa matumizi ya anapokuja? Sasa Ummy Mwalimu ujumbe huu nakutumia inbox fuatilia, mbona wilaya nyingine wamepewa watoto?