Dallas green
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 1,377
- 2,800
Ni kweli sababu ataendaje nisaidie mkuu?Asiende kazini, ikibidi atemane na kazi hiyo kabisa
Wastaafu wanadai mafao ije huyo muajiriwa mpya
Dah ni mtiahan sana hii ni nchi kweli?Kazi mnayo, tena msije kujaribu kukopa mtajuta,maana hiyo kazi itageuka utumwa
Mkuu hayajawahi kukufika, tulioathirika na hilo swala tumemuelewa na typos zake hivohivo,Mkuu ungetulia kwanza valuu iishe kichwani
Ummy Mwalimu sio waziri wa Tamisemi. Umechanganya MadesaWaziri wa tamisemi muwe sirius hii ni nchi sasa mnalowalazmisha watoto wariport bila kwalipa mnakua mnatgmea nn? Sisi wazaz mahindi mmesema tusiuze nje tunauza kwa hasara tujikimu sasa tena na watoto mmewaajir mikoa ya mbali huku mkifosi wafike na hamjawapa nauli pesa ya kuish uko wala mshahara mfano ni arusha Dc . Kumbukeni hii ni nchi sio kampuni na mnatia vitisho kua ni kanuni za utumish mtu kuriport bila kumlipa matumiz ya uko anapokuja ? Sasa ummy mwalim ujumbe huu nakutumia inbox fuatilia. Mbona wilaya nyingine wamepew watoto
Akope tu nauli hakuna jinsiKuna mtoto wa dada yangu anaambiwa akaripoti ndani ya siku 7 tofauti na kawaida ilivyo ndani ya siku 14. Hapohapo hela hawajaingiziwa.
Nchi moja ya kipuuzi sana hii.
yani mtu amepata ajira bado unalalamika Mungu akupe nini mkuu gunia la chawa au upupu hizo ajira watu wanazisoteaWaziri wa TAMISEMI muwe serious hii ni nchi sasa mnalowalazmisha watoto waripoti bila kuwalipa mnakuwa mnategmea nini?
Sisi wazazi, mahindi mmesema tusiuze nje tunauza kwa hasara tujikimu sasa tena na Watoto mmewaajiri mikoa ya mbali huku mkifosi wafike na hamjawapa nauli pesa ya kuishi wala mshahara, mfano ni Wilaya ya Arusha.
Kumbukeni hii ni nchi sio kampuni na mnatia vitisho kuwa ni kanuni za utumishi mtu kuripoti bila kumlipa matumizi ya anapokuja? Sasa Ummy Mwalimu ujumbe huu nakutumia inbox fuatilia, mbona wilaya nyingine wamepewa watoto?
Mkuu Wala usiwaze ,wewe mpe nauli mtoto wako arudi Serikali ilipata hela itamuita kazini 😁😁Waziri wa TAMISEMI muwe serious hii ni nchi sasa mnalowalazmisha watoto waripoti bila kuwalipa mnakuwa mnategmea nini?
Sisi wazazi, mahindi mmesema tusiuze nje tunauza kwa hasara tujikimu sasa tena na Watoto mmewaajiri mikoa ya mbali huku mkifosi wafike na hamjawapa nauli pesa ya kuishi wala mshahara, mfano ni Wilaya ya Arusha.
Kumbukeni hii ni nchi sio kampuni na mnatia vitisho kuwa ni kanuni za utumishi mtu kuripoti bila kumlipa matumizi ya anapokuja? Sasa Ummy Mwalimu ujumbe huu nakutumia inbox fuatilia, mbona wilaya nyingine wamepewa watoto?
Wewe ni mgeni na Mtanzania? 🤣🤣yani mtu amepata ajira bado unalalamika Mungu akupe nini mkuu gunia la chawa au upupu hizo ajira watu wanazisotea