Waziri wa TAMISEMI ndio aliyetoa amri ndugu zetu wa NGORONGORO wahamishwe bila ya utaratibu Maluku, waziri awajibishwe

Waziri wa TAMISEMI ndio aliyetoa amri ndugu zetu wa NGORONGORO wahamishwe bila ya utaratibu Maluku, waziri awajibishwe

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,534
Reaction score
7,866
Moja ya viongozi wa hovyo kabisa ni huyu waziri wa TAMISEMI, kwanza sijawahi kumuelewa huyu jamaa capacity na uwezo wake.

hapo alipo.? Hawa watu walipaswa kuwa wapiga madufu. Unfortunately wameingia kwenye ofisi za Umma wakidhan kwamba kila kitu ni maagizo

Mkwe anakuaje waziri wako, mgongano wa kimasilahi na kuna shida kubwa snaa hapa na hii familia.

Watanzania tusipo amka hii familia itatuvuruga sana , it’s usa kila kitu , tuamke, wao hata elimu zao ni za kudonoa kama kuku wa kienyeji,
 
Mmmh
GUcqUEcWkAEDirh.jpeg
 
..Temisemi iko chini ya Ofisi ya Raisi.

..kwa msingi huo Raisi ndiye Waziri wa Tamisemi.

..Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Tamisemi sio Waziri kamili, kama alivyo Waziri wa Ulinzi, Fedha, nk.

..Kwa msingi huo, aliyewafanyia vitimbi wananchi wa Ngorongoro ni Samia, tusimuonee Mchengerwa.
 
Back
Top Bottom