DOKEZO Waziri wa ujenzi, Abdallah Ulega waulize TARURA, DMDP kwanini utekezaji wa mradi wa barabara Nyakasangwe wazo hauanzi?

DOKEZO Waziri wa ujenzi, Abdallah Ulega waulize TARURA, DMDP kwanini utekezaji wa mradi wa barabara Nyakasangwe wazo hauanzi?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Ikiwa sasa ni Mwaka wapili tunaenda tangu Tangazo la Tenda kutolewa juu ya utekelezaji mradi wa Barabara za Nyakasangwe Kata ya Wazo, kuanzia Bwawani, Umoja Road mpaka Mahakama ya Nakasangwe kwa kiwango cha Lami imekuwa kimya ikiwa nikukosa kwa barabra madhubuti hasa eneo la BWAWANI hasi kipindi chamvua huwa kero kubwa!

Tunaomba hizo taasissi mbili tajwa hapo juu watuambie nini kimekwamisha huu mradi na pesa tuliambiwa zipo za World Bank, Je bado mkandarasi hajapatikana miaka yote??

Tunakuomba Waziri Ulega utusaidie kuhusu hili maana tuliambiwa kila kitu kipo tayari tangu mwaka jana mwezi wa nne kuwa wataanza ujenzi!

Mbunge wetu Mh Joseph Gwajima Amekuwa msiri sana, na hataki kutueleza kilichopo katika huu mradi! Sasa ni wakati Waziri mwenye dhamana kutusaidia!
TUNAOMBA ALIYEPO NA MH ABDALLAH ULEGA WAZIRI WA UJENZI AMWAMBIE KUWA KUNA WANANCHI WAKE WANAMUHITAJI SANA HUKU #NAKASANGWE KATA YA WAZO!

Soma: Pre GE2025 - Waziri Ulega kaanza makeke ya kujihakikisha nafasi 2025, sasa hivi ni kushinda site kama trekta!
 
Back
Top Bottom