Waziri wa ujenzi : upanuzi barabara ya rangi-tatu - mkuranga kuanza rasmi

Waziri wa ujenzi : upanuzi barabara ya rangi-tatu - mkuranga kuanza rasmi

PureView zeiss

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2016
Posts
10,786
Reaction score
35,916
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega (Mb) ametangaza rasmi kuanza kwa mchakato wa upanuzi wa barabara kutoka Rangi Tatu hadi Mkuranga, baada ya kupata kibali kutoka kwa Rais Samia Suluhu Hassan.

Waziri amesema upanuzi wa barabara hiyo umekubalika ili kuondoa msongamano mkubwa unaosababisha adha kwa wananchi wa Mkuranga, Kibiti, Rufiji na maeneo yote ya ukanda wa Kusin
20250101_143017.jpg
i.
 
Waifanye sawa tu iliyopo mbagala maana mji unakua kwa kasi sana kuelekea huko,wasifanye kitu cha miaka mitano alafu warudi tena
 
Waweke na ukomo wa muda wa kuanza na kumalizika kwa mradi ili tujue wakati sahihi wa kuwahoji wakishindwa kuwajibika. Hatutaki cheap politics kwa sasa .
 
Kwa mfano pale Rangi Tatu roundabout (St Mary's) kuna njia kulia na kushoto kama service road waende na zile hadi darajani pale hadi Zinga Kongowe hadi Mkuranga barabara ya Kati waiache.
Hiyo program unayopendekeza itafanywa baada ya uchaguzi mwingine ili kupata Kura
 
Tutakuwa tunajenga Barabara zilezile miaka nenda rudi mpaka dunia inaisha.

Hizi barabara ni za juzi juzi tu hapa.
Kwanini tusijenge Barabara kwa life span ya 100yrs?

Nyie mliotembea duniani ni kweli kila siku watu wanarudia kujenga Barabara zile zile?

Tusipokuwa na mipango thabiti Kwa maana ya good planning and setup miaka yote tutakuwa tunajenga shule, Barabara, mahospitali huku tukishindwa kufanya mambo mengine.
 
Mi sijazurura sana ila wenzetu mambo ya kutanua barabara sijui naona walikataa. Wanachofanya wanajenga mpya pembeni wakati ile ya zamani inaendelea kufanya kazi.

Okay, kwa mjini tutasema kuna makazi ya watu ndio maana wanashindwa kujenga njia pembeni ila hii nchi utakuta porini uko machakani barabara za mkoa kwa mkoa wanarekebisha kipande ata cha kilometa 100+ kwann wasijenge pembeni? Tuwe na alternative?
 
Back
Top Bottom