PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Wakimaliza mchakato ndio watakuwa na jibu nafikiri. Maana mchakato na ujenzi ni vitu tofauti.How many lanes
Wapo kwenye mchakato mkuu...How many lanes
Miyeyusho tuHiyo njia badala ya kupanua si wajenge nyingine tu kwa pembeni.
Kwa mfano pale Rangi Tatu roundabout (St Mary's) kuna njia kulia na kushoto kama service road waende na zile hadi darajani pale hadi Zinga Kongowe hadi Mkuranga barabara ya Kati waiache.Miyeyusho tu
Hiyo program unayopendekeza itafanywa baada ya uchaguzi mwingine ili kupata KuraKwa mfano pale Rangi Tatu roundabout (St Mary's) kuna njia kulia na kushoto kama service road waende na zile hadi darajani pale hadi Zinga Kongowe hadi Mkuranga barabara ya Kati waiache.
Hahaha umenifurahisha sana mkuu!Wakimaliza mchakato ndio watakuwa na jibu nafikiri. Maana mchakato na ujenzi ni vitu tofauti.
Mi sijazurura sana ila wenzetu mambo ya kutanua barabara sijui naona walikataa. Wanachofanya wanajenga mpya pembeni wakati ile ya zamani inaendelea kufanya kazi.Tutakuwa tunajenga Barabara zilezile miaka nenda rudi mpaka dunia inaisha.
Hizi barabara ni za juzi juzi tu hapa.
Kwanini tusijenge Barabara kwa life span ya 100yrs?
Nyie mliotembea duniani ni kweli kila siku watu wanarudia kujenga Barabara zile zile?
Tusipokuwa na mipango thabiti Kwa maana ya good planning and setup miaka yote tutakuwa tunajenga shule, Barabara, mahospitali huku tukishindwa kufanya mambo mengine.