Waziri wa Ulinzi Dkt. Stergomena amtembelea Jenerali mstaafu Robert Mboma

s
Kuna watu wamejaariwa uhai na afya.....mtu kastafu 2001,...hadi leo ana afya tele.....ukiwaona vijana na mabinti wadogo waliozaliwa 2001,wanajihusisha na matumizi ya mihadarati,pombe,ngono zembe na kujiuza unaona kabisa wamezeeka hata kufika robo ya miaka ya generali ni mtihani
i mchezo,km Sarakikya anadunda mpk leo basi walikua na haki ya kuwa na hicho cheo-
Mboma mwenyewe ndo kwanza km anaanza leo kazi.
 
Cha kushangaza mtu kama Kova kastaafu juzi tu hapa, leo tayari ameanza kutembelea mkongojo.
 
Kuna watu wamejaariwa uhai na afya.....mtu kastafu 2001,...hadi leo ana afya tele.....ukiwaona vijana na mabinti wadogo waliozaliwa 2001,wanajihusisha na matumizi ya mihadarati,pombe,ngono zembe na kujiuza unaona kabisa wamezeeka hata kufika robo ya miaka ya generali ni mtihani
Ondoa pombe kwenye orodha yako, weka juice za pakti, furusana nk. Mnaokunywa ivi vinywaji mnajiona mko salama sana
 
Back
Top Bottom