DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
State watafute corrent individual for this position
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Mhe. Dkt. Stergomena Tax, amesema kuwa kumekuwa na ushirikiano mzuri wa kidiplomasia ya kiulinzi kati ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na majeshi ya nchi nyingine.
Dkt. Stergomena ameyasema hayo leo, Mei 22, 2025, jijini Dodoma wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mwenendo na mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Ameeleza kuwa ushirikiano huo wa kidiplomasia umechangia kuimarisha usalama wa taifa, kiasi kwamba hata wale waliokuwa na nia ya kufanya vurugu nchini, nchi zao zimekuwa mstari wa mbele katika kuilinda na kuitetea Tanzania.
Aidha, Dkt. Stergomena amesema baadhi ya watu walitarajia kuona nchi ambazo raia wao walijipenyeza nchini kwa lengo la kufanya fujo, zikiunga mkono vitendo hivyo. Hata hivyo, nchi hizo hazikufanya hivyo kutokana na uhusiano mzuri wa kidiplomasia uliopo.
Hii picha Rwanda waliitumia sana kutudhihaki JWTZ waliposhikishwa adabu na M23 pale Goma🤣HUYU KICHWA MAJI TANGU AGEUZE BINOCULAR HADI LEO SIMUAMINI !
View attachment 3342112
Aache kuotaWakuu,
Wakati akizungumza na waandishi wa habari, Dodoma leo hii, Waziri wa Ulinzi & JKT, Dkt. Stergomena Tax amegusia watu ambao walitaka kujipenyeza na kutaka kuleta vurugu nchini
Hii picha Rwanda waliitumia sana kutudhihaki JWTZ waliposhikishwa adabu na M23 pale Goma🤣
Huyu sio kichwa maji tu ni tutusa hasa hajui hata analolifanya hapo wizaraniHUYU KICHWA MAJI TANGU AGEUZE BINOCULAR HADI LEO SIMUAMINI !
View attachment 3342112
Mm na familia yangu hatuna Imani nae pia. Nataka niwashawishi na ukoo wangu wooote.HUYU KICHWA MAJI TANGU AGEUZE BINOCULAR HADI LEO SIMUAMINI !
View attachment 3342112
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dkt. Stergomena Tax amesema kuwa kumekuwa na ushirikiano mzuri wa kidiplomasia ya kiulinzi kati ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na majeshi ya nchi nyingine.
Dkt. Stergomena ameyasema hayo leo, Mei 22, 2025, jijini Dodoma wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mwenendo na mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Ameeleza kuwa ushirikiano huo wa kidiplomasia umechangia kuimarisha usalama wa taifa, kiasi kwamba hata wale waliokuwa na nia ya kufanya vurugu nchini, nchi zao zimekuwa mstari wa mbele katika kuilinda na kuitetea Tanzania.
Aidha, Dkt. Stergomena amesema baadhi ya watu walitarajia kuona nchi ambazo raia wao walijipenyeza nchini kwa lengo la kufanya fujo, zikiunga mkono vitendo hivyo. Hata hivyo, nchi hizo hazikufanya hivyo kutokana na uhusiano mzuri wa kidiplomasia uliopo.
Mjinga Mmoja na Mpumbavu Mkuu kupita Wapumbavu wote.

mbona uganda hawajaleta vurugu? ndiyo maana wanawake hamfai madaraka ya juu.Wakuu,
Wakati akizungumza na waandishi wa habari, Dodoma leo hii, Waziri wa Ulinzi & JKT, Dkt. Stergomena Tax amegusia watu ambao walitaka kujipenyeza na kutaka kuleta vurugu nchini
Huyo waziri kaanza uchawa kaanza kuwa chawaccm , nani kajipenyeza kuleta vurugu?