Hao wote ni chawaccm hana jipyaRais kaliongrlea,Ndumbalo kaliongelea huyu nae kaliongelea, Inaonekana huko ndani pa moto sana
Hao wote ni chawaccm hana jipyaRais kaliongrlea,Ndumbalo kaliongelea huyu nae kaliongelea, Inaonekana huko ndani pa moto sana
Daah tuna safar kubwa sanaHUYU KICHWA MAJI TANGU AGEUZE BINOCULAR HADI LEO SIMUAMINI !
View attachment 3342112
Congo jwtzccm wapo chini ya utawala wa m23 hawafurukutiTumeshidwa vita na M23 sasa tunapigana na waangalizi wa kesi!!! ujinga mtupu
Wanajipngelea hovyo hovyo wamesahau kuwa watanzania wa sasa wameamkaIli mradi nae kaongea
Hivi kumbe ni yeye😁😁HUYU KICHWA MAJI TANGU AGEUZE BINOCULAR HADI LEO SIMUAMINI !
View attachment 3342112
Duh,wale waliokuwa na nia ya kufanya vurugu nchini, nchi zao zimekuwa mstari wa mbele katika kuilinda na kuitetea Tanzania..
Anafanana na BICHWA KOMWEHUYU KICHWA MAJI TANGU AGEUZE BINOCULAR HADI LEO SIMUAMINI !
View attachment 3342112
Kijana jishikilie, au wewe ndio ulitaka kuja kufanya fujo?HUYU KICHWA MAJI TANGU AGEUZE BINOCULAR HADI LEO SIMUAMINI !
View attachment 3342112
Huyo mama ni msomi wa kiwango cha juu sana. Mwanadiplomasia mwenye uwezo mkubwa.We siku ukibanwa maswali na trump kama alivyomfanyia ramaphosa jina TAX utaligeuza CCM TONE TO TONE
Kosa dogo la kibinadamu ambalo mtu yoyote anaweza kulifanya. Picha inapigwa kwa sekunde moja tu, pengine huyo mama baada ya kugundua kaigeuza hiyo darubini akaiweka sawa lakini tayari mpiga picha keshalichukua tukio kwenye chombo chake.HUYU KICHWA MAJI TANGU AGEUZE BINOCULAR HADI LEO SIMUAMINI !
View attachment 3342112
Aje tena hiyo ni rasharashaAngalia UJINGA Wetu Watanzania, tunafanya UJINGA kwa kichaka cha AMANI
View attachment 3342117
Wakaangalie kesi zao mbona ziko nyingi tu za ardhi,ubakwaji,wizi,mirungi,nk huku watakufwaaaa!!Tumeshidwa vita na M23 sasa tunapigana na waangalizi wa kesi!!! ujinga mtupu