PreGE2025 Waziri wa Ulinzi, Dkt. Stergomena Tax: Walitaka kujipenyeza nchini kuleta vurugu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Waziri umegeuka na wewe mpiga ramli, nani alete hujo hapa tuna nini sisi cha maana ambacho hao unaowaita waleta fujo watahitaji.

Fuateni Katina na sheria za nchi.

Kifuoi No reforms ipo palepale - watanganyika hawapigi kura isiyo na THAMANI mwaka huu. Yaani siku ya uchaguzi watu shambani na wengine ni bar mapema kupata vitu thetu.
 
👇👇👇


View: https://www.instagram.com/reel/DJ9aDYksvDQ/?igsh=dTl6ZzI5Ymh0dmN1
 
Huyo waziri Tax hakutakiwa kuwepo kwenye wizara inayoheshimika kama wizara ya Ulinzi. Ni msomi ambaye hakuelimika. Ukishaona msomi mzima anasema serikali ya awamu fulani inayoongozwa na fulani ujue hazimtoshi. Serikali ni ya Tanzania, hakuna haja ya kusema ni ya awamu fulani na inaongozwa na fulani, kwani nani hafahamu kwamba rais ni mtu fulani?

Msomi mzima anageuka kuwa chawa wa mtu ambaye amemzidi elimu na uzoefu wa kazi. Huo ni upumbavu.
 
Aah waziri, hili si lako japokuwa waziri wa ulinzi, ili liwe lako tuoneshe silaha mlizozikamata toka kwa watuhumiwa.
 
Watu 6 wasio na silaha wanajipenyeza vipi nchini na kuleta vurugu? Halafu walikuja kwa usafiri gani hadi mseme walijipenyeza?

Acheni kuwafanya watu wajinga na wasio na uwezo wa kufikiri au kuhoji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…