Waziri wa Ulinzi Israel Katz amuonya Katibu Mkuu wa Hezbollah Naim Qassem

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Waziri wa Ulinzi wa Israeli Israel Katz katika ujumbe kwa Katibu Mkuu wa Hezbollah Naim Qassem:

Utalipa gharama kubwa kwa kufyatua risasi kuelekea Israeli usiku wa kuamkia sikukuu.

Hutaishi ili kuiona kesho yako kwa sababu utakuwa ndani kabisa ya kuzimu pamoja na wanachama wengine wa mhimili walioangamizwa akina HassanNasrallah na magaidi wenzake.

KIONGOZI
HIVI HUNA KINGINE CHA KUPOSTI ZAIDI YA PROPAGANDA ZA ISRAEL?
TUPUMZISHE KIDOGO NA MAMBO YA VITA
TUNATAKA KUSIKIA HABARI ZINGINE ZA KUTUPATIA POSITIVE ENERGY!

Kutumia muda mwingi kupata Negative energy inaweza kupelekea matatizo ya moyo nk nk nk
 
JF kuna majukwaa mengi sana!!!

Nakushauli tu nenda kwenye jukwaa lako pendwa la Mapishi!!!

Au uingie kwenye Jukwaa la Kilimo,Ufugaji na Uvuvi najua kwenye majukwaa hayo utaburudika sana moyo wako!!

Wayahudi wana msemo wa usemao If you can't handle the Political heat stay out of the Kitchen
 
Waziri wa Ulinzi wa Israeli Israel Katz katika ujumbe kwa Katibu Mkuu wa Hezbollah Naim Qassem:

Utalipa gharama kubwa kwa kufyatua risasi kuelekea Israeli usiku wa kuamkia sikukuu.

Hutaishi ili kuiona kesho yako kwa sababu utakuwa ndani kabisa ya kuzimu pamoja na wanachama wengine wa mhimili walioangamizwa akina HassanNasrallah na magaidi wenzake.

View attachment 3566347
1.Kwa nini Venezuela Ina WAKRISTO 87% na mafuta yake yapo chini ya U.S.A?

2.kwa nini Iran in WAISLAM 90% na gesi zake na mafuta zipo chini ya JAMHURI YA KIISLAM YA IRAN?

3.Kwa nini nchi masikini zaidi duniani zipo kusini mwa jangwa ala sahala na 80% ya population yake ni wakristo?

4. Kwa nini Zanzibar Ina WAISLAM 99% na rasilimali zake za mafuta na gesi,si Mali ya muungano na rais mzanzibar yupo hapa anatawala na anauza migodi na rasilimali za bara kama mbuga za wanyama kwa bei ya kutupa?,huku per capital ya Zanzibar ikiwa ni $2500 huku ya Tanganyika ikiwa ni $1200

5.Kwa nini ISLAMIC REPUBLIC OF IRAN na ISLAMIC REPUBLIC OF AFGHANISTAN wanamiliki rasilimali zao,100%?
 
Maswali ya Kipumbavu kabisa!!
 
Back
Top Bottom