Waziri wa ulinzi wa Africa Kusini

Waziri wa ulinzi wa Africa Kusini

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Anaitwa Angie Motshekga, ana miaka 70, ni mwalimu kitaaluma.
20250203_105532.jpg

20250203_105542.jpg

 
Bi mkubwa ndio wale wapigania uhuru waliokuwa pale SUA, ataweza hata kuifokea Rwanda.
Power ndiyo itakayomfokea kagame sio jinsia yake. Kama SA wana jeshi imara kuliko RWANDA hata wema sepetu akiwa waziri wa ulinzi RWANDA atamfokea tu kagame.
 
Back
Top Bottom