Waziri wa Ulinzi wa Israel akishuhudia Setalaiti OFEK-19 ikirushwa angani!!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Hivi majuzi tulishuhudia Israel ikirusha Setalaiti yake yenyewe ya kijasusi angani, Hayo ni maendelea makubwa sana katika nyanja za kijeshi na ki intelijensia mafanikio makubwa kama haya yatailinda nchi ya Israel na watu wa wake!!!

HAKUNA MAHALI PA KUJIFICHA
Wow, Israel imezindua silaha yake mpya zaidi: Ofek 19, satelaiti ya rada iliyobobea sana hivi kwamba inahisi haiwezekani hata kuielewa.
• Huona usiku, dhoruba, mawingu
• Huona chini ya ardhi: Mahandaki na vifuniko
• Hufuatilia roketi na misafara kwa wakati halisi
• Data ya onyo la papo hapo ya IDF
• Hukuza uhuru wa kijasusi.

Uwindaji wa Magaidi unaendelea!!!!.

Na sisi tunashuhudia kurusha magaidi mbinguni kuwahi bikras 72
 
Hivi majuzi tulishuhudia Israel ikirusha Setalaiti yake yenyewe ya kijasusi angani, Hayo ni maendelea makubwa sana katika nyanja za kijeshi na ki intelijensia mafanikio makubwa kama haya yatailinda nchi ya Israel na watu wa wake!!!

HAKUNA MAHALI PA KUJIFICHA
Wow, Israel imezindua silaha yake mpya zaidi: Ofek 19, satelaiti ya rada iliyobobea sana hivi kwamba inahisi haiwezekani hata kuielewa.
• Huona usiku, dhoruba, mawingu
• Huona chini ya ardhi: Mahandaki na vifuniko
• Hufuatilia roketi na misafara kwa wakati halisi
• Data ya onyo la papo hapo ya IDF
• Hukuza uhuru wa kijasusi.

Uwindaji wa Magaidi unaendelea!!!!.

Na Ile ya mama atakuwapo pande zipi za dasalama ikivurumishwa?
 
Jana waziri WA ulinzi wa Israel kasema kuwa baada ya Miaka 10 watakuwa wanajua kilakitu kinachoendelea ndani ya middle east hakutakuwa tena na mahali pa kujificha na watajua kilakitu kuhusu maadui zao.
Hii ni setalaiti yenye technology ya kisasa zaidi kushinda zingine zote duniani
 
Hivi majuzi tulishuhudia Israel ikirusha Setalaiti yake yenyewe ya kijasusi angani, Hayo ni maendelea makubwa sana katika nyanja za kijeshi na ki intelijensia mafanikio makubwa kama haya yatailinda nchi ya Israel na watu wa wake!!!

HAKUNA MAHALI PA KUJIFICHA
Wow, Israel imezindua silaha yake mpya zaidi: Ofek 19, satelaiti ya rada iliyobobea sana hivi kwamba inahisi haiwezekani hata kuielewa.
• Huona usiku, dhoruba, mawingu
• Huona chini ya ardhi: Mahandaki na vifuniko
• Hufuatilia roketi na misafara kwa wakati halisi
• Data ya onyo la papo hapo ya IDF
• Hukuza uhuru wa kijasusi.

Uwindaji wa Magaidi unaendelea!!!!.

Wakati Waisraeli hawalali usiku na mchana kujilinda na kujidhatiti dhidi ya maadui zao kwa ma air dome na setelaiti.........,Sisi wengine tupo busy hatulali makanisani kumuomba Mungu wa Israel atulinde 🤣🤣
 
Hapo ndo utashangaa walokole wa bongo
 
Back
Top Bottom