Hivi majuzi tulishuhudia Israel ikirusha Setalaiti yake yenyewe ya kijasusi angani, Hayo ni maendelea makubwa sana katika nyanja za kijeshi na ki intelijensia mafanikio makubwa kama haya yatailinda nchi ya Israel na watu wa wake!!!
😂😂😂Na sisi tunashuhudia kurusha magaidi mbinguni kuwahi bikras 72
Haisaisii mkuuInatusaidia nini sisi tunaokula mlo mmoja kwa siku Tz?
Hivi majuzi tulishuhudia Israel ikirusha Setalaiti yake yenyewe ya kijasusi angani, Hayo ni maendelea makubwa sana katika nyanja za kijeshi na ki intelijensia mafanikio makubwa kama haya yatailinda nchi ya Israel na watu wa wake!!!
HAKUNA MAHALI PA KUJIFICHA
Wow, Israel imezindua silaha yake mpya zaidi: Ofek 19, satelaiti ya rada iliyobobea sana hivi kwamba inahisi haiwezekani hata kuielewa.
• Huona usiku, dhoruba, mawingu
• Huona chini ya ardhi: Mahandaki na vifuniko
• Hufuatilia roketi na misafara kwa wakati halisi
• Data ya onyo la papo hapo ya IDF
• Hukuza uhuru wa kijasusi.
Uwindaji wa Magaidi unaendelea!!!!.
Wakati Waisraeli hawalali usiku na mchana kujilinda na kujidhatiti dhidi ya maadui zao kwa ma air dome na setelaiti.........,Sisi wengine tupo busy hatulali makanisani kumuomba Mungu wa Israel atulinde 🤣🤣Hivi majuzi tulishuhudia Israel ikirusha Setalaiti yake yenyewe ya kijasusi angani, Hayo ni maendelea makubwa sana katika nyanja za kijeshi na ki intelijensia mafanikio makubwa kama haya yatailinda nchi ya Israel na watu wa wake!!!
HAKUNA MAHALI PA KUJIFICHA
Wow, Israel imezindua silaha yake mpya zaidi: Ofek 19, satelaiti ya rada iliyobobea sana hivi kwamba inahisi haiwezekani hata kuielewa.
• Huona usiku, dhoruba, mawingu
• Huona chini ya ardhi: Mahandaki na vifuniko
• Hufuatilia roketi na misafara kwa wakati halisi
• Data ya onyo la papo hapo ya IDF
• Hukuza uhuru wa kijasusi.
Uwindaji wa Magaidi unaendelea!!!!.
Hapo ndo utashangaa walokole wa bongoWakati Waisraeli hawalali usiku na mchana kujilinda na kujidhatiti dhidi ya maadui zao kwa ma air dome na setelaiti.........,Sisi wengine tupo busy hatulali makanisani kumuomba Mungu wa Israel atulinde 🤣🤣