Waziri wa Ulinzi wa Israel anaomba msaada kwa raia wa Gaza wasaidie kupatikana kwa Mateka

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.

Waziri wa Ulinzi wa Israel anaomba msaada kwa raia wa Gaza wawasaidie kupatikana kwa Mateka, naona mambo yamekuwa magumu leo mwezi sasa walisema wanaenda Gaza kuifuta Hamas na kurudi nyumbani na mateka.
“I say to the residents of the Gaza Strip! Those who can contribute to the release of the hostages will be protected, the rest deserve to die ,” former Israeli Defense Minister Benny Gantz said on Israeli television.
 
Attachments

  • twidown.mp4
    4.8 MB

Hawa ni wendawazimu na ussenge wao , Mara hii wameshikwa pabaya na dunia imewajua
 
Wanaukumbi.

Waziri wa Ulinzi wa Israel anaomba msaada kwa raia wa Gaza wawasaidie kupatikana kwa Mateka, naona mambo yamekuwa magumu leo mwezi sasa walisema wanaenda Gaza kuifuta Hamas na kurudi nyumbani na mateka.
“I say to the residents of the Gaza Strip! Those who can contribute to the release of the hostages will be protected, the rest deserve to die ,” former Israeli Defense Minister Benny Gantz said on Israeli television.
Yuko sahihi kuna watanzania wenzetu wametekwa na Hamas watu wa Gaza wasaidie watanzania wenzetu waachiwe
 
Kwani Hamas wenu hao wako wapi, mbona hawapo Gaza, make Gaza IDF ndio wapo pale, Hamas wako shimoni na mateka wamegeuka panyabuku🤣🤣🤣🤣🤣
 
Yuko sahihi kuna watanzania wenzetu wametekwa na Hamas watu wa Gaza wasaidie watanzania wenzetu waachiwe
Kwani ustaadh uchwara anatambua hilo? jana kelele ilituchosha humu, mara hotuba wa Nasrallah🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Nasrallah mwenyewe alitoa hotuba akiwa shimoni jamani, hii iwe fundisho kwa ustaadh kimsboy and his allies kwamba Israel ni kiboko yao
 
Unapiga mabomu nyamba zao
Unapiga mabomu ambulance unapiga mambo shule unapiga mabomu Misikiti unapiga mabomu watoto unapiga mabomu wanawake kisha unawaambia wakusaidie kitafuta ndugu zao hawa kweli vichaa😂
 
Duuuuh kwamba umetafsiri maneno hayo Kwa elimu ya madrasa au 😂😂😂.
Mbona huyo jamaa ameeleza lugha ya kueleweka kuwa "Nazungumza Kwa wakazi wa ukanda wa Gaza, Kwa yeyote atakayesaidia kuachiwa Kwa mateka atalindwa , Waliobaki kifo ni halali yao " 😂😂😂
 
Yuko sahihi kuna watanzania wenzetu wametekwa na Hamas watu wa Gaza wasaidie watanzania wenzetu waachiwe
Kwahiyo we unaona watanzania ndo binadamu wanaostahili kuishi Ila wengine la! Mbona mawazo yako yamekaa kibaguzi Kama ya makaburu.
 
Duuuuh kwamba umetafsiri maneno hayo Kwa elimu ya madrasa au 😂😂😂.
Mbona huyo jamaa ameeleza lugha ya kueleweka kuwa "Nazungumza Kwa wakazi wa ukanda wa Gaza, Kwa yeyote atakayesaidia kuachiwa Kwa mateka atalindwa , Waliobaki kifo ni halali yao " 😂😂😂
Hivi na wewe unazo akili yaani uniulie wazee na ndugu zangu halafu nikusaidie?
 
Wewe kusaidia Mimi kupata ndugu zangu waliotekwa ni hiari Yako . Lakini Mimi kuamua kuingia vitani Ili kuwakomboa mateka wangu nisikusikie unalalamika na kulialia kama mbwa😂😂
 
Back
Top Bottom