Wanaukumbi.
Waziri wa Ulinzi wa Israel anaomba msaada kwa raia wa Gaza wawasaidie kupatikana kwa Mateka, naona mambo yamekuwa magumu leo mwezi sasa walisema wanaenda Gaza kuifuta Hamas na kurudi nyumbani na mateka.
βI say to the residents of the Gaza Strip! Those who can contribute to the release of the hostages will be protected, the rest deserve to die ,β former Israeli Defense Minister Benny Gantz said on Israeli television.
Yuko sahihi kuna watanzania wenzetu wametekwa na Hamas watu wa Gaza wasaidie watanzania wenzetu waachiweWanaukumbi.
Waziri wa Ulinzi wa Israel anaomba msaada kwa raia wa Gaza wawasaidie kupatikana kwa Mateka, naona mambo yamekuwa magumu leo mwezi sasa walisema wanaenda Gaza kuifuta Hamas na kurudi nyumbani na mateka.
βI say to the residents of the Gaza Strip! Those who can contribute to the release of the hostages will be protected, the rest deserve to die ,β former Israeli Defense Minister Benny Gantz said on Israeli television.
Yaani watu unawauwa wao na watoto wao alafu unawomba msaada wa kuwapata ndugu zako haya ni maajabu.Yuko sahihi kuna watanzania wenzetu wametekwa na Hamas watu wa Gaza wasaidie watanzania wenzetu waachiwe
Na wewe unaungana na kauli ya The rest deserves to die?Yuko sahihi kuna watanzania wenzetu wametekwa na Hamas watu wa Gaza wasaidie watanzania wenzetu waachiwe
Kwani Hamas wenu hao wako wapi, mbona hawapo Gaza, make Gaza IDF ndio wapo pale, Hamas wako shimoni na mateka wamegeuka panyabukuπ€£π€£π€£π€£π€£Wanaukumbi.
Waziri wa Ulinzi wa Israel anaomba msaada kwa raia wa Gaza wawasaidie kupatikana kwa Mateka, naona mambo yamekuwa magumu leo mwezi sasa walisema wanaenda Gaza kuifuta Hamas na kurudi nyumbani na mateka.
βI say to the residents of the Gaza Strip! Those who can contribute to the release of the hostages will be protected, the rest deserve to die ,β former Israeli Defense Minister Benny Gantz said on Israeli television.
Kwani ustaadh uchwara anatambua hilo? jana kelele ilituchosha humu, mara hotuba wa Nasrallahπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Yuko sahihi kuna watanzania wenzetu wametekwa na Hamas watu wa Gaza wasaidie watanzania wenzetu waachiwe
Yaani watu unawauwa wao na watoto wao alafu unawomba msaada wa kuwapata ndugu zako haya ni maajabu.
Mmechoka kuishi shimoniπ€£π€£π€£π€£Hawa ni wendawazimu na ussenge wao , Mara hii wameshikwa pabaya na dunia imewajua
Mmechoka kuishi shimoniπ€£π€£π€£π€£
Yuko sahihi kuna watanzania wenzetu wametekwa na Hamas watu wa Gaza wasaidie watanzania wenzetu waachiwe
Kwahiyo we unaona watanzania ndo binadamu wanaostahili kuishi Ila wengine la! Mbona mawazo yako yamekaa kibaguzi Kama ya makaburu.Yuko sahihi kuna watanzania wenzetu wametekwa na Hamas watu wa Gaza wasaidie watanzania wenzetu waachiwe
Hivi na wewe unazo akili yaani uniulie wazee na ndugu zangu halafu nikusaidie?Duuuuh kwamba umetafsiri maneno hayo Kwa elimu ya madrasa au πππ.
Mbona huyo jamaa ameeleza lugha ya kueleweka kuwa "Nazungumza Kwa wakazi wa ukanda wa Gaza, Kwa yeyote atakayesaidia kuachiwa Kwa mateka atalindwa , Waliobaki kifo ni halali yao " πππ
Wewe kusaidia Mimi kupata ndugu zangu waliotekwa ni hiari Yako . Lakini Mimi kuamua kuingia vitani Ili kuwakomboa mateka wangu nisikusikie unalalamika na kulialia kama mbwaππHivi na wewe unazo akili yaani uniulie wazee na ndugu zangu halafu nikusaidie?