Waziri wa Ulinzi wa Israel atoa tamko rasmi 'Hatupangiwi na mtu"-Katz

Waziri wa Ulinzi wa Israel atoa tamko rasmi 'Hatupangiwi na mtu"-Katz

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Waziri wa Ulinzi wa Israeli Israel Katz:

Hali hiyo inatumika kwa kitongoji cha Dahieh huko Beirut kama ilivyo kwa miji ya kaskazini [nchini Israeli]. Shambulio lolote dhidi ya miji ya kaskazini litasababisha shambulio huko Dahieh.

IDF itaendelea kufanya kazi nchini Lebanon dhidi ya shirika la kigaidi la Hezbollah

Tunakataa vitisho vya Iran kimkakati. Jaribio lolote la Iran la kuunganisha Lebanon na Iran na kushambulia Israeli litakabiliwa kwa nguvu kubwa, kama ilivyotokea jana na leo Iran atapigwa kama kawaida maana hana uwezo kuzuia wanaanga wetu kuipiga Iran!!

IMG_20260608_201219_707.jpg
 
Eeeh,naona "Who are You" inazidi kuwa popular!

Israel wanapaswa kutambua ukweli.

Without USA there is no Israel, not only in military engagements, but also in UN decision processes. They should watch their mouth, it is Trump they are dealing with, a man with weird ego.
 
​
Onyesha source, umepata wapi hii habari?
 
Eeeh,naona "Who are You" inazidi kuwa popular!

Israel wanapaswa kutambua ukweli.

Without USA there is no Israel, not only in military engagements, but also in UN decision processes. They should watch their mouth, it is Trump they are dealing with, a man with weird ego.
Pamoja na visingizio vingi hivyo kipigo kiko palepale tu!!
 
Israel hawezi mkuu, si unaona Trump kajiondoa Israel ikabidi waache mashambulizi maana interceptor anatoa US.
Kwa picha nilizoziona Iran akipigwa ndiyo maana kaamua Kubwaga manyanga haraka
 
Iranian kwa Israel nisawa na Baba na mwana👈

Iran ndio Baba na Israel ndio Mtoto Iranian kamkanya Mtoto hakusikia ikabidi itumike mikwaji💥💥💥💥💥 kisha kaonywa upya!!

Itakuwa kanyooka
Tunaona mpaka sasa yupo kwenye kudhingatia maelekezo ya Baba 😄😄😄
 
Interceptor zimeisha ndio maana wametangaza kujiondoa. Wangekomaa leo tungekua tunaongea mengine
Iran ndiye aliyebwaga Manyanga kwa kutangaza kutoishambulia Israel wakati huohuo Israel bado inawapa Kichapo magaidi wa Hezbollah lakini kwa sababu ni waongo kupindukia mnataka kugeuza ukweli kuwa uongo.

Lakini wenye akili walishajua Iran katepeta kapigwa nyumbani kwake na makombola yake yamepopolewa na mengine kuangukia sehemu za wazi.

Hongera sana Mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel!!!!!!!!!
 
Ona ulivyo muongo, si ulisema mchana kuwa hakuna bomu lilifanikiwa kuvuka mifumo ya ulinzi?
Ulivyo Punda ulitaka hata yanayoangukia sehemu za wazi wayapopoe!!
Mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel Mara zote inang’amua mapema Kama kombola hilo linaangukia kwenye makazi ya watu ndilo linalopopolewa lakini linaloangukia sehemu za wazi huachwa likajifie lenyewe mbele kwa mbele!! Mjinga Kama wewe hayo huyajui!!!!!
 
Back
Top Bottom