Onyesha source, umepata wapi hii habari?Waziri wa Ulinzi wa Israeli Israel Katz:
Hali hiyo inatumika kwa kitongoji cha Dahieh huko Beirut kama ilivyo kwa miji ya kaskazini [nchini Israeli]. Shambulio lolote dhidi ya miji ya kaskazini litasababisha shambulio huko Dahieh.
IDF itaendelea kufanya kazi nchini Lebanon dhidi ya shirika la kigaidi la Hezbollah
Tunakataa vitisho vya Iran kimkakati. Jaribio lolote la Iran la kuunganisha Lebanon na Iran na kushambulia Israeli litakabiliwa kwa nguvu kubwa, kama ilivyotokea jana na leo Iran atapigwa kama kawaida maana hana uwezo kuzuia wanaanga wetu kuipiga Iran!!
Pamoja na visingizio vingi hivyo kipigo kiko palepale tu!!Eeeh,naona "Who are You" inazidi kuwa popular!
Israel wanapaswa kutambua ukweli.
Without USA there is no Israel, not only in military engagements, but also in UN decision processes. They should watch their mouth, it is Trump they are dealing with, a man with weird ego.
Israel hawezi mkuu, si unaona Trump kajiondoa Israel ikabidi waache mashambulizi maana interceptor anatoa US.Waachwe wawili tu na iran ulingoni mmarkani akae pembeni
Interceptor zimeisha ndio maana wametangaza kujiondoa. Wangekomaa leo tungekua tunaongea mengineKwa picha nilizoziona Iran akipigwa ndiyo maana kaamua Kubwaga manyanga haraka
Iran ndiye aliyebwaga Manyanga kwa kutangaza kutoishambulia Israel wakati huohuo Israel bado inawapa Kichapo magaidi wa Hezbollah lakini kwa sababu ni waongo kupindukia mnataka kugeuza ukweli kuwa uongo.Interceptor zimeisha ndio maana wametangaza kujiondoa. Wangekomaa leo tungekua tunaongea mengine
Ona ulivyo muongo, si ulisema mchana kuwa hakuna bomu lilifanikiwa kuvuka mifumo ya ulinzi?na mengine kuangukia sehemu za wazi.
Sawa kabisa halafu upande mwingine kule pia China na Russia nao wakae pembeni ndipo itapendeza zaidi.Waachwe wawili tu na iran ulingoni mmarkani akae pembeni
Ulivyo Punda ulitaka hata yanayoangukia sehemu za wazi wayapopoe!!Ona ulivyo muongo, si ulisema mchana kuwa hakuna bomu lilifanikiwa kuvuka mifumo ya ulinzi?