Unataka kutueleza nini? Mimi sikuelewi kabisaa!!! Mbona uzungumzii umahili wa Warusi kwenye masuala ya sayansi na teknolojia, bila Urusi si ajabu Ulaya nzima na Afrika na USA wangekuwa wanazungumza Kijerumani baada ya WW2.
Tukirudi kwa masuala ya sayansi na teknolojia, ebu twambie ni taifa gani Duniani liliwahi kupeleka binadamu wa kwanza kwenye outer space, chombo cha kwanza mwezini nakupiga picha the other side of the moon, chombo cha kwanza kwenye sayari za Mars na Venus;first space stations,first space walk, supersonic jet fighter 1955 MiG-21, Nuclear ice breaker,Nuclear Power Reactors kwa ajili ya kuzalisha umeme you name it
Cha ajabu some of you people gotta inbuilt rabid hatred of everything Russian, sababu nyingine ni too laughable - masaa yote kuisema sema vibaya Urusi as if haijawahi ku-contribute chochote hapa Duniani hasa kwenye maendeleo ya sayansi na technolojia - someni unbiased Science journal muone wana sayansi wa Urusi waliyo wahi kuchangia kwenye masuala ya kuendeleza Dunia kwenye nyanja mbali mbali lakini hilo huwa alisemwi na media za magharobi. Masaa yote kuzungumzia masuala ya Vodka na ulevi kwa lengo la kutaka kuidhalilisha Urusi vile wanafikiri watu hawana akili za kujua kwamba hizo ni propaganda zisizo na tija - Leopard na Challenger zikitiwa kiberiti huko na silaha za Urusi media za magharibi zinakaa kimya hasemi kwamba zinalipuliwa kama karatasi kutokana na Scotland kuuza Whiskey nyingi Duniani au Waingereza in general ni walevi wa Whisky ndio maana wanaunda vifaru vya ovyo ovyo.