let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 3,699
- 8,857
😂😂 Bwasheeeee.. Africa haidhulumiwi, Africa inajidhulumu yenyewe.Ukidhulumiwa na kunyonywa sn na hakuna wa kukuokoa hata akitokea Mandonga ambae anataka kukutetea kwann usimkubali
Mfn, inshu ya Bandari mwenye makosa si hao masheikh wa Dubai bali mtu mweusi.
Mashekh wa Dubai wapo kwa ajili ya masirahi yao na ya watoto so, wapo tayari kuingia katika mkataba wowote as long as conditions zinawafavor wao.
Mtu mweusi kasain mkataba kwa kununuliwa Range then mwisho wa siku atakuja kwenye majukwaa ya siasa na kusema " wanatuibiwa,nichagueni mimi nikomeshe hii mikataba ya kifisaidi" as if yeye hakuwepo wakati hii mikataba inasainiwa.