let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 3,699
- 8,857
😂😂 Bwasheeeee.. Africa haidhulumiwi, Africa inajidhulumu yenyewe.Ukidhulumiwa na kunyonywa sn na hakuna wa kukuokoa hata akitokea Mandonga ambae anataka kukutetea kwann usimkubali
Duh!... Supa-pawa amepatwa na nini tena mpaka mawaziri wakimbie ? Au na wao wanapelekwa Frontline ?Ni maajabu ya Karne Kwa Waziri kuacha kazi yake ya uwaziri toka nchi kubwa, superpower ,na kwenda kuwa dereva wa Malori 🤔
.....
‘One big adventure’: the Russian minister who fled the draft to drive trucks in the US
Denis Sharonov is part of a historic exodus as hundreds of thousands of Russians seek to escape Vladimir Putin’s warwww.theguardian.com
Wewe unaona ni jambo kubwa?Mimi nimeandika kwamba sio Rais wa Kilimo wa Urusi ni jimbo la Komi huko Urusi.Kuwa waziri kwenye jimbo la nchi kama Russia unaona ni kitu kidogo?
Kazi za kuingiza kipato ziko nyingi🤣🤣🪑Kwenye hii dunia maajabu hayaishi!
Hilo litakuwa lilikuwa pandikizi la US! Lilifikiri US na washiriki watashinda! Alipoona hakuna nafasi ya US na magasho wenzake kushinda kaona bora akimbilie US maana anaweza liwa kichwa! Angekuwa mwana Urusi kweli asingeenda US!Ni maajabu ya Karne Kwa Waziri kuacha kazi yake ya uwaziri toka nchi kubwa, superpower ,na kwenda kuwa dereva wa Malori 🤔
.....
‘One big adventure’: the Russian minister who fled the draft to drive trucks in the US
Denis Sharonov is part of a historic exodus as hundreds of thousands of Russians seek to escape Vladimir Putin’s warwww.theguardian.com
So as Snowden.Huyo ni shushu hata kwa haraka haraka hakutakiwa kupokelewa