Waziri wa Usalama wa Kitaifa Itamar Ben Gvir anaapa kupambana

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Waziri wa Usalama wa Kitaifa Itamar Ben Gvir anaapa kupambana na uamuzi wa Israeli wa kutaka kurejesha msaada kwa Gaza, akiita "kosa la kihistoria."

Anasema, "Maadamu mateka wetu wanakufa wakiwa kwenye Mahandaki, hakuna sababu ya pun je ya chakula au msaada kuingia Gaza," akiwataka Netanyahu na Katz kufuta hatua hiyo ambayo wanaipanga kuifanya siku zijazo
IMG_2485.jpeg
 
View attachment 3306626
Wakati mnadhani hakuna chuma kama hiki; kinaibuka chuma cha pua! Dah!
 
Back
Top Bottom