Waziri wa Usalama wa Taifa Itamar Ben-Gvir amezindua kituo cha kuwanyongea Magaidi wa kipalestina!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Waziri wa Usalama wa Taifa Itamar Ben-Gvir amezindua kitengo maalum cha gereza kwa magaidi wa kipalestina waliohukumiwa kifo, kufuatia kupitishwa kwa sheria inayoanzisha adhabu ya kifo kwa magaidi waliohukumiwa.

Kituo kilichopangwa kujengwa katika gereza lililoko katikati mwa Israeli, kitajumuisha sehemu salama ya kusubiri kifo na eneo lililotengwa kwa ajili ya kuwanyongea Magaidi hao..

Mipango pia inajumuisha maeneo ya uchunguzi ambapo waathiriwa na jamaa za waathiriwa wanaweza kushuhudia kunyongwa kwa magaidi hao!!

"Tuliahidi, na sasa tumetimiza ahadi zetu," Ben-Gvir alisema, akielezea kituo hicho kama hatua inayofuata katika kutekeleza sera mpya ya adhabu ya kifo Magaidi wa Kipalestina!!
 
Attachments

  • IMG_5729.jpeg
    IMG_5729.jpeg
    123.9 KB · Views: 15
  • IMG_5730.jpeg
    IMG_5730.jpeg
    234.1 KB · Views: 15
Waziri wa Usalama wa Taifa Itamar Ben-Gvir amezindua kitengo maalum cha gereza kwa magaidi wa kipalestina waliohukumiwa kifo, kufuatia kupitishwa kwa sheria inayoanzisha adhabu ya kifo kwa magaidi waliohukumiwa.

Kituo kilichopangwa kujengwa katika gereza lililoko katikati mwa Israeli, kitajumuisha sehemu salama ya kusubiri kifo na eneo lililotengwa kwa ajili ya kuwanyongea Magaidi hao..

Mipango pia inajumuisha maeneo ya uchunguzi ambapo waathiriwa na jamaa za waathiriwa wanaweza kushuhudia kunyongwa kwa magaidi hao!!

"Tuliahidi, na sasa tumetimiza ahadi zetu," Ben-Gvir alisema, akielezea kituo hicho kama hatua inayofuata katika kutekeleza sera mpya ya adhabu ya kifo Magaidi wa Kipalestina!!

Kwa hiyo umeona ni habari njema sana kwako, hadi utuletee huku jkwaani?
ANAYESHABIKIA VITA AU WATU WENGINE KUUWAWA AJUE NI WAKALA WA SHETANI BILA YEYE KUJIJUA!!!
 
Kauli kama hizi daima hutolewa na Waarabu-koko kama wewe hivyo sishangai sana!!
 
We jamaa umekaa na ka ushabik ka Israel kwenye Kila uzi wako... Shame on you, Israel & Marekani wanaleta ubabe unaosababisha unrest Kwa jamiii zingine ...Siku wakiigeukia Tanzagiza ndio utapojua Hawa wapo Kwa ajili maslahi yao tu. Foreign policy ya USA Inataja wazi kabisa kwamba hawana rafiki wa kudumu Wala adui wa kudumu it's clear wako kimaslahi tu... Watu wanaporwa ardhi yao, wanauawa , wananyimwa misaada ya kibinadamu ikiwemo chakula, maji, madawa. Bado ww Msukuma wa Bariadi unakaa kushupaza shingo kuwapa airtime. Una matatizo kibao hapo ulipo unaacha ku deal na matatizo Yako kazi kupiga kelele kuisifu Israel isiyo na msaada na maisha Yako... Nyie ndio mnaturudisha nyuma kama hatuwezi kuongea ukweli kuhusu haya mataifa chonganishi ni vyema tunyamaze ... Tumia maubongo sio matra......ko.
 
Ujinga na Upumbavu wako ndiyo unakusumbua sana!! Kwa chuki zako ulizopandikiziwa na waarabu unataka na sisi tuukumbatie ujinga huo endelea nao wewe tu!!

Nani aliyeporwa ardhi yake? Acha ujinga wa kukaririshwa na Waarabu. Je wajua hao waarabu wako waliyoyafanya Oct 07,2023? Uliona walivyofanya ni sahihi? Na Kama uliona ni sahihi basi tulia Acha kubwabwa ovyo liache Taifa Teule lifanye kazi yake ya kuwaangamiza Magaidi!!!!

Kwa akili yako mgando na ** Uarabu-Koko** wako unafikiri ukiwa ram a Makalio waarabu watakusaidia? Acha ujinga za Kufuga Midevu na Majini!!
 
Sijui nikuite kiazi mbatata au mirinda nyeusi🤔🤔🤔😁 endelea ikiwa hujui hata historia ya mgogoro yaliyotokea hyo October ni muendelezo na visasi ... Mm sishabikii mwarabu wala myahudi... Nachopinga ni mauaji, ukandamizaji na uporaji unaoendelea kutoka Kwa wateule na kiranja wa Dunia siku wakila na hcho kchwa chako utaenda jehanamu uwasimulie waungua moto wenzako jinsi ulivosalititwa na wateule+kiranja wa dunia
 
Kama Oct 07,2023 ilikuwa ni visasi mbona ulikaa kimya wala hukulaani mauaji hayo cha kushangaza kwa kuwa wewe ni Mwarabu-Koko unajifanya mwema kuwaonea huruma Magaidi.

Kwa taarifa yako tu magaidi sasa hivi wanaangsmizwa vizuri sana na wanapukutishwa kama nzige!!
 
Waziri wa Usalama wa Taifa Itamar Ben-Gvir amezindua kitengo maalum cha gereza kwa magaidi wa kipalestina waliohukumiwa kifo, kufuatia kupitishwa kwa sheria inayoanzisha adhabu ya kifo kwa magaidi waliohukumiwa.

Kituo kilichopangwa kujengwa katika gereza lililoko katikati mwa Israeli, kitajumuisha sehemu salama ya kusubiri kifo na eneo lililotengwa kwa ajili ya kuwanyongea Magaidi hao..

Mipango pia inajumuisha maeneo ya uchunguzi ambapo waathiriwa na jamaa za waathiriwa wanaweza kushuhudia kunyongwa kwa magaidi hao!!

"Tuliahidi, na sasa tumetimiza ahadi zetu," Ben-Gvir alisema, akielezea kituo hicho kama hatua inayofuata katika kutekeleza sera mpya ya adhabu ya kifo Magaidi wa Kipalestina!!
Kwani kuua mtu lazima uwekeze mapesa Yote hayo? Si ni bunduki Tu na Riaasi mchezo umeisha
 
Back
Top Bottom