Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
De wa sheria badala ya kwenda kupiga nondo darasani yupo mtaani anafanya kazi za kina Mange
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muulize Mashinji ataje hizo nyimbo mbili.Hivi hata akiambiwa ataje nyimbo zao japo mbili tu kwa kila mmoja wapo anazijua?
Waziri wa sanaa anatarajiwa kuwakutanisha kiba na diamond mjini dodoma ili kuweza kuwapatanisha na kuondoa tofauti zao, wakali hao wameteuliwa kwenye kamati ya team ya taifa serengeti boys
Je atafanikiwa kuwapatanisha ndo swali lililopo maana mpk sasa mmoja bado anaonyesha bado beef analipenda..!!!