TANZIA Waziri wa Viwanda na Biashara, Abdallah Kigoda amefariki dunia

TANZIA Waziri wa Viwanda na Biashara, Abdallah Kigoda amefariki dunia

TANZIA:
Waziri wa Viwanda na Biashara Dr Abdallah Kigoda amefariki dunia jioni hii nchini India.

Taarifa hizi zimethibitishwa na balozi wetu wa Tanzania nchini India, Mhe. Balozi Kijazi.

Mungu ailaze roho ya Dr Kigoda mahala pema peponi Ameen.

May God rest his soul in peace.
 
Apumuzike kwa amani. Bwana wa rehema na amrehemu. Amina.

Aliekuwa waziri wa Viwanda na biashara na Mbunge wa Handeni DR Abdala kigoda amefariki dunia.

Taarifa zilizofika ofisi ya bunge zinasema Kigoda amefariki saa kumi na moja jioni katika hosptali ya Apollo nchini India.

Tuambie sababu za wao kukanusha

R.I.P Kigoda,hapa duniani tunapita

Issue sio kama Kamanda wetu lkn? 😔 Allah amsamehe makosa yake amin
 
Issue sio kama Kamanda wetu lkn? 😔 Allah amsamehe makosa yake amin
Kirahisi hivyo si kila aliyekurufuru hadi mwisho angesamehewa......acheni mizaha sana.Ktk wakiwa hai hawakuamini unachotaka kisema kuwa fair na kukubali kutangulia kwakwe kisha mpe Mungu utukufu.Mengine yeye na Mungu wake...hakuna ummah..wala mkumbo unaokwenda nae ktk haki.
 
Rip dr kigoda. Mungu ni mwema tumshukuru kwa yote. Poleni wafiwa kwani safari yetu ni moja nasi kwake siku moja tutarejea.
 
RIP Dr. Abdalah Kigoda,
Poleni wote tulioguswa na Msiba huu.

Hii ni kwa mujibu wa Taarifa ya Bunge; Waziri wa Viwanda na Biashara, Abdalah Kigoda amefariki leo nchini India alikokuwa amelazwa kwa matibabu.

Balozi Kijazi amethibitisha taarifa hizi na familia imethibitisha kutokea kwa msiba huu.

Apumzike kwa amani

=======
UPDATES:

Toka Serikalini:

Kwa maskitiko makubwa serikali inatangaza Kifo Cha Mhe. Dkt. Abdallah Kigoda MB. Waziri wa Viwanda na-Biashara kilichotokea katika Hospitali ya Apollo, New Delhi India leo.

Taarifa zaidi kuhusu msiba huu pamoja na mipango ya kusafirisha mwili wa marehemu-na mazishi- zitaendelea kutolea na serikali hapo mbeleni.

Sisi wote ni wa mwenyezi na kwake- tutarejea.

Imetolewa na Idara ya Habari Maelezo.
 
apumzike mahala pema. alikuwa mwanasiasa mstaarabu si vuvuzela ingawa mapungufu yake ni kuisimamia ipasavyo sera mbovu ya mkapa ya kuuza kila kitu cha nchi hii

Wewe unaliona hilo ni kosa dogo, huyo ndio aliepewa kisu awachinjie watz ndani ya umasikini na hayo ndio malipo ya mola pia,
 
Kuna nini misiba mikubwa hivi? Eee mungu tunusuru japo ni kazi yako..wanasema hainra makosa lala pahali unapo stahili
 
yap,,,,,,ubsh c ishu tunajuwa hlo yetu macho ila wakae wakjuwa cc c watoto wa kudanganywa
 
Pole nyingi kwa familia ya mh. Kigoda na watu wote wa Handeni kwa kuondokewa na ndugu na kiongozi wao.
 
Huko India sasa hakufai.inabidi serikali ihesabu idadi ya watu waliopoteza maisha .England or USA .may his soul rest in peace
Kuongoza vi nchi vichanga vichanga hivi vyenye watu wasio na civic awareness ni rahisi sana, viongozi wanaenda kufia kwenye mahospitali ya nje halafu wananchi wanasema India hakufai, tuwapeleke Uingereza!

Tunadai huduma ziboreshwe hapa hapa nchini!
 
Back
Top Bottom