Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 12,444
- 18,741
Nilishapita hizo stageSasa uta bebika vipi na soulmate wako mkiwa far?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilishapita hizo stageSasa uta bebika vipi na soulmate wako mkiwa far?
Siasa kwenye maisha yangu ni neverTwende kwa mama utalamba uteuzi.
Tulia wewe nimshawish maza ukawe balozi haiti😅Siasa kwenye maisha yangu ni never
nna vyeti fekiTulia wewe nimshawish maza ukawe balozi haiti😅
Mpiga simu ndio mwenye uhitaji, acha awajibike yeye mwenyeweNapeleka wazo kwa mama kuwa
Inatakiwa anayepokea simu naye anatakiwa awe na salio ili kuweza kupokea.
Tutaboresha uchumi.
😅
Napeleka wazo kwa mama kuwa
Inatakiwa anayepokea simu naye anatakiwa awe na salio ili kuweza kupokea.
Tutaboresha uchumi.
😅
Nafikiri kwamba wewe ni kijana mdogo sana. Miaka ya tisini ya Kati, nikiwa natumia simu ya Siemens C35 na line ya Tritel, kama huna Salio hiwezi kupokea simu. Maisha ni kusonga mbele sio kurudi nyuma, kurudi nyuma kimaisha ni kukosa ubunifu
chini ya ccm hakishindikani kitu.nna vyeti feki
aliyekutuma kamwambie hujanikuta kabisa 😆😆chini ya ccm hakishindikani kitu.
Uwe na KADI YA KIJANI TU😅😅
Kweli wewe umeshiba hela😅😅 za ujasiriamali.aliyekutuma kamwambie hujanikuta kabisa 😆😆
Hilo linamhusu mama yupi sasa? Mzazi wako, mamantilie au kuna mama mwingine anahusika?Napeleka wazo kwa mama kuwa
Inatakiwa anayepokea simu naye anatakiwa awe na salio ili kuweza kupokea.
Tutaboresha uchumi.
😅
Mawazo Mgando haya. Hata hizo nchi kama Germany, USA, Japan na china ZENYE uchumi bora Duniani, haziwezi kufanya undezi kama huo, ndio ije iwe kwa nchi toka Ulimwengu wa tatu!?Napeleka wazo kwa mama kuwa
Inatakiwa anayepokea simu naye anatakiwa awe na salio ili kuweza kupokea.
Tutaboresha uchumi.
😅
KWA UJINGA WA KIJANIWazo liende bungeni 😅