Simba mundu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 767
- 1,058
Ili nalo kaliangalieniNapeleka wazo kwa mama kuwa
Inatakiwa anayepokea simu naye anatakiwa awe na salio ili kuweza kupokea.
Tutaboresha uchumi.
😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili nalo kaliangalieniNapeleka wazo kwa mama kuwa
Inatakiwa anayepokea simu naye anatakiwa awe na salio ili kuweza kupokea.
Tutaboresha uchumi.
😅
1997-2009Gen z ni kuanzia mwaka gan mkuu
Tajiri wa jf na wewe umo.Wazo linafilisi
Haaha1997-2009
madhara ya kunywa KIMPUMU!!Napeleka wazo kwa mama kuwa
Inatakiwa anayepokea simu naye anatakiwa awe na salio ili kuweza kupokea.
Tutaboresha uchumi.
😅
Sawa mkuuIli nalo kaliangalieni
😅😅, wata tafta namna ila lazima lipitishwe.Hawataniwi hawa. Soon utamuona Bw. Madelu na scarf yake anakuja na wazo hili.
ebu weka emoji ya kucheka kuna kitu nataka nione mkuu hahahTuoneane huruma [emoji849]
Hahaha.Tuoneane huruma [emoji849]
Hiyo ilikuwa zaman enzi vicha inaitwa dola.Napeleka wazo kwa mama kuwa
Inatakiwa anayepokea simu naye anatakiwa awe na salio ili kuweza kupokea.
Tutaboresha uchumi.
😅
Wazo la kijinga sana hili na umewaza ukiwa umepewa bando la bure.Napeleka wazo kwa mama kuwa
Inatakiwa anayepokea simu naye anatakiwa awe na salio ili kuweza kupokea.
Tutaboresha uchumi.
😅
au ndio #PamojatunawezaWee nae ebu tuache uko
mtuue tu hakuna namna ,, sikumbuki nmeeka vocha lin,,hiz mb ni za ofa,afu unasemaje wewe😒😔kwahiyo mimi nimewachoka wa tz wenzangu au🤣🤣
Unataka kusema wenye magari tuu ndo waruhusiwe kupanda magari ya wengine siyo?Napeleka wazo kwa mama kuwa
Inatakiwa anayepokea simu naye anatakiwa awe na salio ili kuweza kupokea.
Tutaboresha uchumi.
😅
Kwani lazima kupokea unaiacha inaita mpaka inakataNapeleka wazo kwa mama kuwa
Inatakiwa anayepokea simu naye anatakiwa awe na salio ili kuweza kupokea.
Tutaboresha uchumi.
😅
Twende kwa mama utalamba uteuzi.mtuue tu hakuna namna ,, sikumbuki nmeeka vocha lin,,hiz mb ni za ofa,afu unasemaje wewe😒😔
Sasa uta bebika vipi na soulmate wako mkiwa far?Kwani lazima kupokea unaiacha inaita mpaka inakata