Wazo: Anayepokea simu naye anatakiwa kuwa na salio

Wazo: Anayepokea simu naye anatakiwa kuwa na salio

Napeleka wazo kwa mama kuwa
Inatakiwa anayepokea simu naye anatakiwa awe na salio ili kuweza kupokea.
Tutaboresha uchumi.
😅
Hiyo ilikuwa zaman enzi vicha inaitwa dola.
Wakifanya hivyo sasa tutaanza piga tu simu za whatsapp na facetime
 
Eti ee
1737089181289.jpg

Tajiri wa jf na wewe umo.
 
Back
Top Bottom