Kuna project mbili ambazo tunaweza kuzifanya zikaleta tija kwenye jamii:
1. VIDEO LECTURES( O-LEVEL & A-LEVEL PAST PAPERS, NOTES AND ASSIGNMENTS)
2. MARKETPLACE-AGRICULTURE( MKULIMA ANAUZA MAZAO YAO ONLINE, MAWAKALA WANAPOST BEI YA MAZAO KILA MKOA, WATALAAM WANATOA HUDUMA YA ELIMU KUHUSU KILIMO NA UFUGAJI WANACHAMA WANALIPIA).
KAMA WATATOKEA WATU SERIOUS TUKACHAGUA PROJECT MOJA YA KUFANYA MJE PM FOR MEETING AND AGREEMENT.
Jana nimeona TBC1 wanaonesha bei ya mazao nchi nzima, ni kitu poa sana hili wazo nilikuwaga nalo toka zaman sana na nilishatengenezaga system yake niliita masoko. Hii system ilikuwa inaonesha masoko yote nchi nzima kuhusu nafaka na bei zake.
Kwa maboresho zaidi ibad iwe na mawakala nchi nzima wawe wanapakia bei ya mazao na mifugo, kuwe na wataalam wanaotoa elimu ya kulipia kwa wakulima na wafugaji pia wakulima wawe wanaweza kuuza mazao au mifugo online.
Marketplace iwe ina escrow ndani yake ili wamiliki wa mfumo wapate commission kwa kila mauzo yanayofanyika ...
APP IWE NA FEATURE HIZI
1. P2P MARKETPLACE WITH ESCROW SYSTEM(VERIFIED MERCHANT ONLY CAN POST ADS)
2. SUBSCRIPTION CONTENTS( 30DAYS ONLY)
3. MARKET PRICE( AGENT POST PRICE FOR EACH COMMODITIES)