CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Enzi za nyuma mbona tulikuwa tunakutana live na still watu na ID zao fake? Ujue mambo yaliharibika enzi za Magu, ila wakati wa JK nakumbuka kama Arusha tulikuwa tunakutana sana na fake ID za watu na ikapelekea kujuana sana, sema wakati wa Jiwe watu walibadili zile ID kabisa make hali ilikuwa mbayaSidhani Kama watakutana kwa majina fake maana hicho kitakuwa kitu serious!huku JF kitaendelea na majina fake kwenye project majina halisi